Severo Ochoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Severo Ochoa''' (24 Septemba 1905 – 1 Novemba 1993) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya [[Hispania]]. Hasa alichunguza [[kimeng’enya|vimeng’enya]] vya [[chembe hai]]. Pia alifaulu [[kusanisi]] [[DNA]]. Mwaka wa 1959, pamoja na [[Arthur Kornberg]] alikuwa mshindi wa ‘’’'''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba’’’Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]