Siku ya Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[File:Celebration of Nelson Mandela Day (7595947574).jpg|thumb|Wafanyakazi wa [[MONUSCO]] wakifanya usafi katika hospitali ya Goma, kusherehekea siku ya Mandela 2012.]]
'''Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela''' (au '''Siku ya Mandela''') ni [[siku ya kimataifa]] kwa heshima ya [[Nelson Mandela]], [[sikukuu]] ambayo husherehekewa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[18 Julai]], siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kuitambua mchango wake Kwa jamii ,Afrika ya kusini , Afrika Kwa ujumla na Ulimwemguni kote.<ref name="UN18">{{cite web |url= https://www.un.org/en/events/mandeladay/ |title=Nelson Mandela International Day, July 18, For Freedom, Justice and Democracy |first= |last= |work=un.org |year=|accessdate=11 July 2011}}</ref>. Siku hiyo iliteuliwa rasmi na [[Umoja wa Mataifa]] mnamo Novemba 2009,<ref>[http://www.worldlii.org/int/other/UNGARsn/2009/64.pdf "Resolution adopted by the General Assembly"], General Assembly, United Nations, 1 December 2009.</ref> na kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa tarehe 18 Julai 2010, lakini, makundi mengine yalianza kusherehekea siku hiyo tarehe 18 Julai 2009.
 
Tarehe 27 Aprili 2009, [[46664 (Tamasha)|46664]] na [[Nelson Mandela Foundation]] ilizialika [[Jumuia za kimataifa]] kuungana kwa ajili ya sherehe maalumu ya siku ya Mandela.<ref>{{Cite web|url=https://www.nelsonmandela.org/news/entry/the-nelson-mandela-foundation-and-46664-call-for-the-establishment-of-a-glo|title=The Nelson Mandela Foundation and 46664 call for the establishment of a global ‘Mandela Day’ – Nelson Mandela Foundation|website=www.nelsonmandela.org|language=en-us|access-date=2018-07-19}}</ref> Siku hii haimaanishi kuwa ni siku ya mapumziko , lakini humaanisha ni siku ya heshima kwa Mandela,kwa raisi na mpigania uhuru wa Afrika ya kusini , thamani yake ni [[Kujitolea]] kwa ajili ya [[huduma za kijamii]].<ref name=UN18/><ref>{{cite news|url=https://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 |title=46664 and the Nelson Mandela Foundation Call for Establishment of Global 'Mandela... |publisher=Reuters |date= 27 April 2009|accessdate=31 July 2010