Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

1,375 bytes added ,  miezi 7 iliyopita
no edit summary
==Shughuli kwenye ISS==
Kusudi kuu la kituo ni kuwa na [[maabara]] katika [[anga la nje|anga-nje]]. Katika [[mazingira]] yasiyo na [[graviti]] kuna nafasi ya kufanya [[jaribio|majaribio]] mengi katika [[fani]] za [[biolojia]], [[fizikia]], [[kemia]], [[tiba]] na [[astronomia]]. Kituo hiki kinabeba [[vifaa]] vinavyopima [[mialimwengu|mnururisho wa mialimwengu]] (ing. ''cosmic rays'') au mabadiliko ya [[nuru]] ya Jua.
 
== Kuitazama kutoka duniani ==
ISS inaonekana kama nukta ya mwanga inayotembea polepole angani ikiangazwa na Jua na kuakisisha nuru yake. Inaweza kuonekana katika masaa baada ya machweo na kabla ya kuchomoza kwa jua.<ref name="Price2005">{{Cite book|title=The Backyard Stargazer: An Absolute Beginner's Guide to Skywatching With and Without a Telescope|last=Price|first=Pat|publisher=Quarry Books|year=2005|isbn=978-1-59253-148-6|location=Gloucester, MA|page=140}}</ref> ISS inachukua kama dakika 10 kupita kutoka upeo mmoja kwenda mwingine, na inaonekana tu sehemu ya wakati huo kwa sababu ya kuingia ndani au nje [[ Kivuli cha dunia|ya kivuli cha Dunia]] . Kwa sababu ya ukubwa wa uso wake, ISS ndio satelaiti inayong'aa vikali zaidi angani ikilingana na [[mwangaza unaoonekana]] wa −4 , sawa na [[Zuhura]]. Wakati mwingine mwangaza unaweza kuwa kali zaidi, hadi kufikia mara 8 au 16 mwangaza wa [[Zuhura]]. <ref>{{Cite web|url=http://www.calsky.com/cs.cgi/Satellites/8|title=Artificial Satellites > (Iridium) Flares|publisher=Calsky.com|accessdate=1 May 2012}}</ref> <ref name="haydenplanetarium">{{Cite web|url=http://www.amnh.org/our-research/hayden-planetarium/blog/how-to-spot-the-international-space-station-and-other-satellites|title=How to Spot the International Space Station (and other satellites)|publisher=Hayden Planetarium|accessdate=12 July 2011}}</ref>
 
==Viungo vya nje==