Rejeta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rejeta''' ni kifaa kinachotoa joto kwenda mazingira yake. Rejeta hupokea joto kubwa ikiwa na uso mkubwa unaomwaga joto hili katika mazingira yake penye joto...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Automobile radiator.jpg|300px|thumb|Rejeta ya motokaa]]
'''Rejeta''' ni kifaa kinachotoa joto kwenda mazingira yake. Rejeta hupokea joto kubwa ikiwa na uso mkubwa unaomwaga joto hili katika mazingira yake penye joto kidogo.
[[Picha:Side valves engine bottom.jpg|300px|thumb|Injini ya pikipiki yenye pezi za kupoza]]
[[Picha:A Houseplant Makes it A Home (8956596592).jpg|300px|thumb|Rejeta ya ukanzaji kwenye nyumba]]
'''Rejeta''' (kutoka [[ing.]] ''radiator'') ni kifaa kinachotoa joto kwenda mazingira yake. Rejeta hupokea joto kubwa ikiwa na uso mkubwa unaomwagaunaoachisha joto hili katika mazingira yake penye joto kidogo.
 
==Rejeta kwenye motokaa==
Motokaa zinayotumiazinazotumia [[injini ya mwako ndani]] huzalisha joto kubwa ndani ya injini. Joto hilo linapaswa kuondolewa nje. Kwa kusudi hili kuna mabomba yenye maji au kiowevu kipozi kingine kinachopitishwa ndani ya injini ambako kipozi kinapokea joto. Kipozi husukumwa na pampu hadi rejeta kinapozunguka hadi kurudi kwenye injini. Ndani ya rejeta kiowevu kipozi kinapitishwa ndani ya mabomba membamba ambayo yanayozungukwa na hewa ya nje. Hewa hiyo inasukumwa kupita kwenye rejta kwa kasi kwa msaada wa parapela na mwendo wa gari. Hapa joto la kipozi ndani ya mabomba wembamba linapotea katika hewa ya mazingira na kiowevu kilichopozwa kinarudishwa kwenda injini ambako kinapoeka upya joto la mwako wa ndani.
 
==Rejeta za hewa==
Line 8 ⟶ 11:
 
==Rejeta kwenye mfumo wa ukanzaji==
Katika [[ukanzaji]] wa nyumba (mfumo wa kupasha moto katika mazingira baridi) rejeta ni kifaa cha metali inayotoa joto chumbani. Mara nyingi imeunganishwa kwa mabomba na jiko linalozalisha joto.
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons category|Radiators (engine cooling)|Rejeta}}
* [https://archive.is/20060821123618/http://www.usaradiator.com/publications.php Radiator Replacement and Troubleshooting Guides]
* [http://auto.howstuffworks.com/cooling-system.htm/printable How Car Cooling Systems Work]
 
[[jamii:fizikia]]