Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

Tangu mwaka [[2011]] ukubwa wake ni mnamo [[mita]] 110 x 100 x 30. Kinazunguka Dunia kila baada ya [[dakika]] 92. Kuna mpango wa kuongeza kitengo cha Kirusi cha [[maabara]] katika mwaka [[2019]].
 
Tangu mwaka [[2000]] kinakaliwa na [[timu]] za [[wanaanga]] 2-3 wanaokaa kwa zamu za miezi kadhaa hadi kubadilishwa na kundi jipya. Mwanaanga mmoja huteuliwa kukaa kwa muda zaidi. Timu ya kwanza ya wanaanga (Warusi 2 na Mwamerika 1) ilifika mwaka 2000.
 
==Muundo==
Kimsingi umbo la ISS ni [[silinda]] kama bomba ndefu iliyounganishwa kutokana na vipande mbalimbali. Nje ya bomba ndefu kuna mikono mikubwa inayobeba [[paneli za sola]] zinazozalisha umeme unaohitajika kwa kazi ya vifaa na mashine za kituo. Mikono mingine inabeba [[rejeta]] zinazohitajika kupoza joto linalipokelewa na upande wa kituo kinachoangzwa na Jua.
 
Nyongeza nyingine nje ya silinda kuu ni antena na vyumba vya maabara vilivyoongezwa kando.
 
==Mipango ya kuondoa kituo kwenye anga==