Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

 
==Muundo==
Kimsingi umbo la ISS ni [[silindamcheduara]] kama [[bomba]] ndefu iliyounganishwa kutokana na vipande mbalimbali. Nje ya bomba ndefu kuna mikono mikubwa inayobeba [[paneli za sola]] zinazozalisha umeme unaohitajika kwa kazi ya vifaa na mashine za kituo. Mikono mingine inabeba [[rejeta]] zinazohitajika kupoza joto linalipokelewa na upande wa kituo kinachoangzwa na Jua.
 
Nyongeza nyingine nje ya silinda kuu ni antena na vyumba vya maabara vilivyoongezwa kando.