Mcheduara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Empty tin can2009-01-19.jpg|thumb|150px|Kopo hili lina umbo la mcheduara.]]
[[Picha:Mcheduara mraba na mshadhari.jpg|250px|thumb|Mcheduara mraba na mshadhari.]]
[[Picha:Cylinder_geometry.svg|right|thumb|150| Mcheduara mraba.]]
'''Mcheduara''' ''(ing.kwa [[Kiingereza]]: cylinder)'' ni [[gimba]] la [[Jiometri|kijiometri]] linalofanana na [[kopo]] au kipande cha [[pipa]]. Hivyo [[jina]] lake linaeleza ni [[mche (hisabati)|mche]] mwenyewenye [[umbo]] la [[duara]] au [[mviringo]]. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake.
 
[[Hisabati|Kihisabati]] mcheduara inawezaunaweza kufafanuliwa pia kama [[uso (hisabati)|uso]] ambao ni jumla ya [[nukta]] zote zenye [[umbali]] sawa na [[mstari]] ilioulio katikati yake unaojulikana kama "[[mhimili]]" wake. Hii ni bila kitako.
 
Kutokana na [[ufafanuzi]] huo gimba la mchemraba ni umbo thabiti uliomo ndani ya uso huo ukipakanwa na vitako viwilibapaviwili bapa sambamba.
*Kama vitako vinakaa kwa pembemraba juu ya mhimili, mcheduara huitwa mraba.
*Kama vitako vinakaa kwa pembe tofauti, tunapata mcheduara mshadhari.
Mstari 14:
*eneo la uso bila bapa zinazopakana M = 2 π r h
*eneo la uso wote E = 2 π r 2 + 2 π r h
{{mbegu-hisabati}}
 
[[Jamii:JiometriJiometria]]
 
[[Jamii:Jiometri]]