Rejeta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Automobile radiator.jpg|300px|thumb|Rejeta ya motokaa.]]
[[Picha:Side valves engine bottom.jpg|300px|thumb|Injini ya pikipiki yenye pezi za kupoza.]]
[[Picha:A Houseplant Makes it A Home (8956596592).jpg|300px|thumb|Rejeta ya ukanzaji kwenye nyumba.]]
'''Rejeta''' (kutoka [[ing.Kiingereza]] ''radiator'') ni [[kifaa]] kinachotoa [[joto]] kwenda [[mazingira]] yake. Rejeta hupokea joto ikiwa na [[uso]] mkubwa unaoachisha joto hilihilo katika mazingira yake penye joto kidogo.
 
==Rejeta kwenye motokaa==
[[Motokaa]] zinazotumia [[injini ya mwako ndani]] huzalisha joto kubwa ndani ya [[injini]]. Joto hilo linapaswa kuondolewa nje. Kwa kusudi hilihilo kuna [[bomba|mabomba]] yenye [[maji]] au [[kiowevu]] kipozi kingine kinachopitishwa ndani ya injini ambako kipozi kinapokea joto. Kipozi husukumwa na [[pampu]] hadi rejeta kinapozunguka hadi kurudi kwenye injini. Ndani ya rejeta kiowevu kipozi kinapitishwa ndani ya mabomba membamba ambayo yanayozungukwayanazungukwa na [[hewa]] ya nje. Hewa hiyo inasukumwa kupita kwenye rejtarejeta kwa [[kasi]] kwa msaada wa [[parapela]] na mwendo wa [[gari]]. Hapa joto la kipozi ndani ya mabomba wembambamembamba linapotea katika hewa ya mazingira na kiowevu kilichopozwa kinarudishwa kwenda injini ambako kinapoekakinapokea upya joto la mwako wa ndani.
 
==Rejeta za hewa==
Kuna pia rejeta ya hewa bila kiowevu kipozi. Hizi ni vifaa kama pezi za [[metali]] zinazoongoza uso wa kupoza. Rejeta ya hewa inapashwa [[moto]] pamoja na injini na kutoa joto kupitia uso wake. Rejeta za hewa hazina ufanisi sawa na rejeta za kiwevukiowevu. Siku hizi hazitumiwi tena kwa magari lakini zinapatikana kwa injini ndogo kama injini za [[pikipiki]].
 
==Rejeta kwenye mfumo wa ukanzaji==
Katika [[ukanzaji]] wa [[nyumba]] (mfumo wa kupasha moto katika mazingira baridi) rejeta ni kifaa cha metali inayotoakinachotoa joto chumbani. Mara nyingi imeunganishwa kwa mabomba na [[jiko]] linalozalisha joto.
 
==Viungo vya Nje==
Mstari 17:
* [https://archive.is/20060821123618/http://www.usaradiator.com/publications.php Radiator Replacement and Troubleshooting Guides]
* [http://auto.howstuffworks.com/cooling-system.htm/printable How Car Cooling Systems Work]
{{tech-stub}}
 
[[jamii:fizikia]]