Kituo cha Angani cha Kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
== Kuitazama kutoka duniani ==
Kutoka duniani ISS inaonekana kama nukta ya mwanga inayotembea polepole angani ikiangazwa na Jua na kuakisishakuakisi nuru yake. Inaweza kuonekana katika masaa baada ya [[machweo]] na kabla ya kuchomoza kwa jua.<ref name="Price2005">{{Cite book|title=The Backyard Stargazer: An Absolute Beginner's Guide to Skywatching With and Without a Telescope|last=Price|first=Pat|publisher=Quarry Books|year=2005|isbn=978-1-59253-148-6|location=Gloucester, MA|page=140}}</ref> ISS inachukua kama [[dakika]] 10 kupita kutoka upeo mmoja kwenda mwingine, na inaonekana tu sehemu ya wakati huo kwa sababu ya kuingia ndani au nje ya [[ Kivuli cha dunia|ya kivuli cha Dunia]] . Kwa sababu ya ukubwa wa uso wake, ISS ndiondiyo satelaiti inayong'aa vikali zaidi angani ikilingana na [[mwangaza unaoonekana]] wa −4 , sawa na [[Zuhura]]. Wakati mwingine mwangaza wake unaweza kuwa kalimkali zaidi, hadi kufikia mara 8 au 16 mwangaza wa [[Zuhura]]. <ref>{{Cite web|url=http://www.calsky.com/cs.cgi/Satellites/8|title=Artificial Satellites > (Iridium) Flares|publisher=Calsky.com|accessdate=1 May 2012}}</ref> <ref name="haydenplanetarium">{{Cite web|url=http://www.amnh.org/our-research/hayden-planetarium/blog/how-to-spot-the-international-space-station-and-other-satellites|title=How to Spot the International Space Station (and other satellites)|publisher=Hayden Planetarium|accessdate=12 July 2011}}</ref>
 
==Viungo vya nje==