Siku ya Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Celebration of Nelson Mandela Day (7595947574).jpg|thumb|Wafanyakazi wa [[MONUSCO]] wakifanya usafi katika hospitali ya Goma, kusherehekea siku ya Mandela 2012.]]
'''Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela''' (au '''Siku ya Mandela''') ni [[siku ya kimataifa]] kwa heshima ya [[Nelson Mandela]], [[sikukuu]] ambayo husherehekewa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[18 Julai]], siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kuitambuakutambua mchango wake Kwakwa jamii ,za [[Afrika ya kusini Kusini]], [[Afrika]] Kwakwa ujumla na Ulimwemguniulimwengu kotewote.<ref name="UN18">{{cite web |url= https://www.un.org/en/events/mandeladay/ |title=Nelson Mandela International Day, July 18, For Freedom, Justice and Democracy |first= |last= |work=un.org |year=|accessdate=11 July 2011}}</ref>. Siku hiyo iliteuliwa rasmi na [[Umoja wa Mataifa]] mnamo Novemba 2009,<ref>[http://www.worldlii.org/int/other/UNGARsn/2009/64.pdf "Resolution adopted by the General Assembly"], General Assembly, United Nations, 1 December 2009.</ref> na kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa tarehe 18 Julai 2010, lakini, makundi mengine yalianza kusherehekea siku hiyo tarehe 18 Julai 2009.
 
Tarehe 27 Aprili 2009, [[46664 (Tamasha)|46664]] na [[Nelson Mandela Foundation]] ilizialika [[Jumuia za kimataifa]] kuungana kwa ajili ya [[sherehe]] maalumu ya siku ya Mandela.<ref>{{Cite web|url=https://www.nelsonmandela.org/news/entry/the-nelson-mandela-foundation-and-46664-call-for-the-establishment-of-a-glo|title=The Nelson Mandela Foundation and 46664 call for the establishment of a global ‘Mandela Day’ – Nelson Mandela Foundation|website=www.nelsonmandela.org|language=en-us|access-date=2018-07-19}}</ref> Siku hii hiyo haimaanishi kuwa ni siku ya mapumziko , lakini humaanisha ni siku ya heshima kwa Mandela,kwa raisirais na mpigania uhuru wa Afrika ya kusiniKusini. , thamaniThamani yake ni [[Kujitolea]]kujitolea kwa ajili ya [[huduma za kijamii]].<ref name=UN18/><ref>{{cite news|url=https://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 |title=46664 and the Nelson Mandela Foundation Call for Establishment of Global 'Mandela... |publisher=Reuters |date= 27 April 2009|accessdate=31 July 2010}}</ref>
}}</ref>
 
Siku ya Mandela ni kwa ajili ya kuiambia dunia kuchukuaichukue hatua za kimabadiliko na kusherehekea mawazo ya kuibadili jamii katika uwezo wa kuleta nguvu ya mabadiliko.
Ujumbe katika Kampeni ya Mandela ni:
 
"Nelson Mandela amepigana kwa ajili ya zaamepigania [[Hakihaki za kijamii]] kwa miaka 67. Tunakuomba ufanye hivyo ndani ya dakika 67."<ref name="Mandela Day">{{cite web|url=http://mandeladay.com/ |title=Mandela Day |publisher=Mandela Day |date= |accessdate=31 July 2010}}</ref>
"Tutakuwa ni watu wenye heshima kama tutaileta dunia pamoja dhidi ya dhidi yakupambana na [[Kupunguza uamasikini|mapambano ya umasikiniumaskini]], kunadi na kuitangaza [[amani]], [[kukataa [[ubaguzi]] na kuendeleza [[utamaduni bora]]," akulinganakulingana na mambo bora ya Mandela.<ref>{{cite news| url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8021275.stm | work=BBC News | title=World urged to mark 'Mandela Day' | date=27 April 2009 | accessdate=1 April 2010}}</ref>
 
Kwa mara ya kwanza siku hiihiyo ilisherehekewa tarehe 18 JulyJulai 2009, wakati wa siku ya kuzaliwa ya Nelson Mandela, ukiwa ni muendelezo wa kielimua kielimu, sanaa za maonyesho , harambee na matamasha ya kujitolea yaliyoandaliwa na kuongoza tamasha katika [[Radio City Music Hall]] mwezi July 18 iloandaliwailiyoandaliwa na tamasha la 46664 pamoja na the Nelson Mandela Foundation.<ref name="Mandela Day"/> mwezi November 2009, the [[Mkuitano mkuu wa Umoja wa Mataifa]] ulikubali kuwa 18 July iwe ni "Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela".<ref>{{cite news|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8353853.stm|title=UN gives backing to 'Mandela Day' |date=11 November 2009|publisher=BBC News|accessdate=16 November 2009}}</ref>
 
==Marejeo==