Misemo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d nyongeza ya misemo |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Misemo''' ni kauli fupifupi zinazotumiwa na [[jamii]] ili kusisitiza [[ukweli]] wa jambo fulani. Misemo huunganisha dhana au mawazo mawili kuwa moja. Ni fungu la maneno
Mifano:
*''Elimu ni ufunguo wa maisha''
*''Mtu ni afya''
Line 7 ⟶ 9:
*''Hasara roho pesa makaratasi''
*''Kikubwa uhai''
*''Hujafa
*''Masikini hana hoja''
*''
Msemo unapokuwepo katika jamii kwa muda mrefu halafu ukatoweka basi unaitwa "msimu".
|