Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

no edit summary
 
[[Picha:International Space Station after undocking of STS-132.jpg|thumb|300px|ISS mnamo mwaka 2010]]
'''Kituo cha Anga cha Kimataifa''' (kwa [[Kiingereza]] '''International Space Station''', '''ISS''') ni [[satelaiti]] inayozunguka [[Dunia]] katika kwenye [[umbali]] wa takriban [[kilomita]] 400 juu ya [[uso wa ardhi]]. ISS ilianzishwa kutokana na mapatano baina ya [[mamlaka]] za [[usafiri wa angani]] za [[NASA]] ([[Marekani]]), [[Roskosmos]] ([[Urusi]]), [[ESA]] ([[Umoja wa Ulaya]]), [[Japani]] na [[Kanada]].
 
==Ujenzi wa kituo==