Anga-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
== Mipaka ya Anga-nje ==
KunaSi majaribio mbalimbalirahisi kutaja kikamilifu mpaka wabaina Angaya angahewa na anga-nje kwala mtazamoDunia. kutokaKuna [[dunia]]majaribio mbalimbali kufafanulia mpaka yetuhuo. Wengine wanaona inaanza katika kanda la [[tabakanje]] ya [[angahewa]]. Shirika la [[Federation Aeronautique Internationale]] linataja [[kimo]] cha [[kilomita]] 100 na [[NASA]] inataja kimo cha [[kilomita]] 80 ambazo ni takriban sawa na mpaka baina [[tabakakati]] na [[tabakajoto]]. Hata hivyo, [[satelaiti]] zinazotumia [[obiti]] za karibu hadi km 500 juu ya uso wa ardhi, bado zinaathiriwa na viwango vidogo vya hewa vinavyoenea hadi kimo kile.
 
Kwa upande mwingine mipaka ya nje ya anga haijulikani kabisa. Nadharia mbalimbali zinadai ama anga za nje halina mwisho, au kuwa anga za nje inaendelea kupanuka ilhali imefikia umbali wa takriban [[miaka ya nuru|miaka nuru]] [[bilioni]] 13 -14.
 
Kufuatana na nadharia ya [[mlipuko mkuu]] anga lilianza kama nukta likaendelea kupanuka hadi leo na kwa wakati ujao. Kufuatana na nadharia hii umbali kati dunia yetu na nyota inaendelea kuongezeka.