Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
fix lint error
Mstari 1:
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|250px]|Mama Teresa mnamo mwaka 1990.]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Mama Teresa wa Kolkata''' ([[26 Agosti]] [[1910]] – [[5 Septemba]] [[1997]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyejulikana kimataifa hasa kutokana na [[huduma]] zake kwa watu [[maskini]] katika [[mji]] wa [[Kolkata]] ([[Uhindi]]) na kwingineko iliyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka [[1979]].