Bundesliga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
fix lint error
Mstari 1:
[[Picha:Freistoss-RB Salzburg-18-09-2005.jpg|thumb|right|300px|Picha inayoonyesha sehemu ya timu za mpira za mashindano ya Bundesliga.]]
[[Picha:Deutsche Meisterschale.JPG|thumb|rihtright|300px|Tuzo ya Kijerumani kwa ajili ya mshindi wa mashindano ya [[mpira wa miguu]].]]
'''Bundesliga''' ni [[jina]] la [[michezo]] ya hali ya juu katika nyanja za michezo mbalimbali katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Bundesliga ina maana ya kutaja [[ligi kuu]] ya nchi nzima. [[Mpira wa miguu]] ni mchezo mashuhuri sana katika nchi hizo [[mbili]]. Na ndiyo maana mchezo wa mpira wa miguu unajulikana sana katika nchi hizo kwa jina la Bundesliga.