Seaborgi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Seaborgi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Seaborgi''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''seaborgium'') ni [[elementi sintetiki]] iliyo na [[alama]] '''Sg''' na [[namba atomia]] 106. Imepokea [[jina]] lake kwa heshima ya [[mwanakemia]] wa [[Marekani]] [[Glenn Seaborg|Glenn T. Seaborg]] . Ilhali ni elementi sintetiki, haitokei kiasili katika [[mazingira]] yetu lakini inaweza kuundwa katika [[maabara]]. Ni [[Unururifu|dutu nururifu]]; [[isotopi]] yake iliyo thabiti zaidi inaitwa <sup>269</sup> Sg, ikiwa na [[nusumaisha]] ya [[dakika]] 14 hivi.
 
[[Atomu]] za kwanza za seaborgi zilitengenezwa [[mwaka]] [[1974]] katika maabara huko [[Umoja wa Kisovyeti|Umoja wa Kisoyeti]] na [[Marekani]]. Pande zotehizo mbili zilivutana kwa miaka kadhaa kuhusu kipaumbelenani waaliwahi ugunduzikuigundua na haki ya kuamulia jina, hadi mwaka [[1997]] [[Jumuiya ya Kimataifa ya Kemia]] (IUPAC) iliamua [[jina rasmi]] kuwa "seaborgium".
 
[[Tabia]] nyingi za [[elementi]] hiyo hazijulikani kwa sababu mbili
 
a) elementi hii inapatikana tu baada ya kutengenezwa katika maabara kwa [[gharama]] kubwa <ref name="Bloomberg">{{Cite web|url=https://www.bloomberg.com/news/features/2019-08-28/making-new-elements-doesn-t-pay-just-ask-this-berkeley-scientist|title=Making New Elements Doesn’t Pay. Just Ask This Berkeley Scientist|author=Subramanian|first=S.|work=[[Bloomberg Businessweek]]|accessdate=2020-01-18}}</ref>
 
b) baada ya kupatikakupatikana inaachana haraka, haidumu
[[Picha:Seaborg_in_lab_-_restoration.jpg|thumb| Elementi 106 ilipewa jina la [[Glenn Seaborg|Glenn T. Seaborg]], mtafiti wa [[elementi sintetiki]], kwa jina ''seaborgium'' (Sg). ]]<ref name="fusion">{{Cite journal|last=Barber|first=Robert C.|last2=Gäggeler|first2=Heinz W.|last3=Karol|first3=Paul J.|last4=Nakahara|first4=Hiromichi|last5=Vardaci|first5=Emanuele|last6=Vogt|first6=Erich|year=2009|title=Discovery of the element with atomic number 112 (IUPAC Technical Report)|journal=Pure and Applied Chemistry|volume=81|issue=7|page=1331|doi=10.1351/PAC-REP-08-03-05}}</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Elementi sintetiki]]