Ndimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Backyard_limes.jpg|thumb|Ndimu mbichi mtini.]]
'''Ndimu''' ni [[tunda]] la [[mndimu]] (''[[Citrus aurantiifolia]]''), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[michungwa]] ([[Rutaceae]]).
== Utangulizi ==
'''Ndimu''' ni [[tunda]] la [[mndimu]] (''[[Citrus aurantiifolia]]''), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[michungwa]] ([[Rutaceae]]). [[Umbo]] lake ni mduara wenye [[rangi]] ya [[kijani]] mpaka [[njano]], na [[kipenyo]] cha [[sm]] 3-6. Lina [[ladha]] ya uchachu kwa sababu ya [[asidi]] ndani yake. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye [[chakula]] na [[vinywaji]]. Kwa kawaida ni dogo kuliko [[limau]], na chanzo kizuri pia cha [[vitamini C]].
 
[[Umbo]] lake ni mduara wenye [[rangi]] ya [[kijani]] mpaka [[njano]], na [[kipenyo]] cha [[sm]] 3-6.
Katika kanda za [[tropiki]] na [[nusutropiki]] mindimu inaweza kumea [[mwaka]] wote [[maji]] yakiwapo. Ndimu ni chungu kidogo kuliko limau.
 
'''Ndimu''' ni [[tunda]] la [[mndimu]] (''[[Citrus aurantiifolia]]''), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[michungwa]] ([[Rutaceae]]). [[Umbo]] lake ni mduara wenye [[rangi]] ya [[kijani]] mpaka [[njano]], na [[kipenyo]] cha [[sm]] 3-6. Lina [[ladha]] ya uchachu kwa sababu ya [[asidi]] ndani yake. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye [[chakula]] na [[vinywaji]]. Kwa kawaida ni dogo kuliko [[limau]], na chanzo kizuri pia cha [[vitamini C]].
Ndimu ni matunda madogo, ambayo [[ngozi]] na [[nyama]] yake ni kati ya [[inchi]] moja au mbili hivi. Ndimu huweza kuwa chungu au tamu. Ndimu chungu huwa na kiasi kikubwa cha [[sukari]] na asili ya asidi citric kuliko malimao na kuwa na ladha ya asili huku ndimu tamu hukosa asidi ndani yake hivyo kuwa na ladha tamu kwelikweli.
 
NdimuKatika nikanda matunda madogo, ambayoza [[ngozitropiki]] na [[nyamanusutropiki]] yakemindimu niinaweza kati yakumea [[inchimwaka]] mojawote au mbili[[maji]] hiviyakiwapo. Ndimu huweza kuwa chungu au tamu. Ndimu chungu huwa na kiasi kikubwa cha [[sukari]] na asili ya asidi citric kuliko malimao na kuwa na ladha ya asili huku ndimu tamu hukosa asidi ndani yake hivyo kuwa na ladha tamu kwelikweli.
 
Ndimu ni matunda madogo, ambayo [[ngozi]] na [[nyama]] yake ni kati ya [[inchi]] moja au mbili hivi.
 
== Matumizi ==
Line 12 ⟶ 15:
Katika [[mapishi]] ndimu huthaminiwa kwa yote, ladha yake ya asidi na [[harufu]] yake ya kukoza ni viungo maalumu sana kwa vyakula vya [[Meksiko]], [[Vietnam|Vietnamu]], [[Thailandi]] na [[kusini]] [[mashariki]] mwa [[Marekani]]. Zaidi hata [[majani]] ya mmea wa ndimu hutumika kwenye mapishi, hasa katika nchi za [[Asia]]. Majani ya mmea huo hutumika kama [[dawa]] pia katika maeneo mengi, hasa kusini na mashariki mwa Asia .
 
[[Virutubisho]] kwa [[gramu]] 100 (3.5 oz)
[[Nishati]] 126 kJ (30 kcal)
[[Kabohaidreti]] 11 g
126 kJ (30 kcal)
[[Sukari]] 1.7 g
Kabohaidreti 11 g
[[Makapi]] 3 g
Sukari 1.7 g
[[Mafuta]] 0.2 g
Makapi 3 g
Mafuta[[Protini]] 0.27 g
Protini 0.7 g
Maji 88 g
Vitamini C 29 mg (48%)