Mikoa ya Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mikoa ya Burundi''' ni ngazi ya kwanza katika [[maeneo ya kiutawala]] ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (''commune'') zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.
 
Hii ni orodha ya '''[[Mikoa]]''' (kwa [[Kirundi]]: ''IProvense'') 18 ya '''[[Burundi]]''':
{{col-begin|width=75%}}