Ameriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
}}
 
'''Ameriki''' ni [[Elementi za kikemia|elementi]] ya [[Metali|kimetali]] yenye [[alama]] '''Am''' na [[namba atomia]] 95. Kwenye [[jedwali la elementi]] inahesabiwa ndani ya [[kundi]] la [[aktinidi]]. Ni metali laini yenye [[rangi]] ya [[kijivu]]-[[Fedha|kifedha]] lakini inaoksidika haraka ikifunikwa na [[tabaka]] la [[oksidi]] kijivu-[[nyeusi]].
 
Ameriki iligunduliwa [[mwaka]] [[1944]] katika [[maabara]] ya [[Chuo Kikuu cha Kalifornia]] pale [[Berkeley]].
'''Ameriki''' ni [[Elementi za kikemia|elementi]] ya [[Metali|kimetali]] yenye alama '''Am''' na [[namba atomia]] 95. Kwenye [[jedwali la elementi]] inahesabiwa ndani ya kundi la [[aktinidi]]. Ni metali laini yenye rangi ya kijivu-kifedha lakini inaoksidika haraka ikifunikwa na tabaka la [[oksidi]] kijivu-nyeusi.
 
Ameriki ni [[Unururifu|elementi nururifu]] ambayo inatokea kiasili kwa viwango vidogo sana, inaundwa ndani ya [[madini]] ya [[urani]] kutokana [[mbunguo nururifu]] asilia ya urani. [[Nusumaisha]] ya [[isotopi]] zake ni hadi miaka 2,737, hivyo haiwezi kudumu muda mrefu kiasili. Inazalishwa katika [[tanuri nyuklia]] na maabara kwa kufyatulia [[nyutroni]] kwa [[plutoni]].
Ameriki iligunduliwa mwaka 1944 katika maabara ya Chuo Kikuu cha Kalifornia pale Berkeley.
 
Matumizi yake ni hasa katika [[vigunduzi moshi]] ambako inatumiwa kwa viwango vidogo ambavyo si hatari kwa [[afya]].
Ameriki ni [[Unururifu|elementi nururifu]] ambayo inatokea kiasili kwa viwango vidogo sana, inaundwa ndani ya madini ya [[urani]] kutokana [[mbunguo nururifu]] asilia ya urani. Nusumaisha ya isotopi zake ni hadi miaka 2,737 hivyo haiwezi kudumu muda mrefu kiasili. Inazalishwa katika tanuri nyuklia na maabara kwa kufyatulia nyutroni kwa [[plutoni]].
 
Matumizi yake ni hasa katika [[vigunduzi moshi]] ambako inatumiwa kwa viwango vidogo ambavyo si hatari kwa afya.
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons|Americium|Ameriki}}
 
* [http://www.periodicvideos.com/videos/095.htm Americium] at ''[[The Periodic Table of Videos]]'' (University of Nottingham)
* [http://www.atsdr.cdc.gov/toxprofiles/phs156.html ATSDR – Public Health Statement: Americium]
* [https://web.archive.org/web/20081224123105/http://www.world-nuclear.org/info/inf57.html World Nuclear Association – Smoke Detectors and Americium ]
{{mbegu-kemia}}
 
 
[[Jamii:Elementi]]