Neodimi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
}}
[[File:Neodymag.jpg|thumb|200px|Sumaku ya aloi ya neodimi inayotumiwa ndani ya diski kuu ya kompyuta]]
'''Neodimi''' ('''Neodymium''') ni [[elementi]] na [[metali]] ya [[udongo adimu]] yenye [[namba atomia]] 60 kwenye [[jedwali la elementi]] maana yake kuna [[protoni]] 60 katika [[kiini cha atomu]] yake. Ina [[uzani atomia]] 144.242. [[Alama]] yake ni '''Nd'''.
 
'''Neodimi''' ('''Neodymium''') ni [[elementi]] na [[metali ya udongo adimu]] yenye namba atomia 60 kwenye [[jedwali la elementi]] maana yake kuna [[protoni]] 60 katika [[kiini cha atomu]] yake. Ina [[uzani atomia]] 144.242. Alama yake ni '''Nd'''.
 
== Tabia ==
Neodimi inaitwa "metali ya udongo adimu", lakini hata hivyo si elementi haba [[Duniani]]. Kama metali zote inang'aa lakini [[Hewa|hewani]] inaoksidishwa haraka na kupata [[ganda]] la [[oksidi]]. Kutokana na kuoksidisha haraka inaanza kuwaka ikifikia [[sentigredi]] 150 na kuwa oksidi ya Nd<sub>2</sub>O<sub>3</sub>.
 
[[Aloi]] ya Nd<sub>2</sub>Fe<sub>14</sub>B) ni [[sumaku]] yenye nguvu sana: inashinda sumaku zote nyingine zote. Sumaku ya neodimi inaweza kushika [[masi]] yake mara [[elfu]].
 
== Matumizi ==
Kwa hiyo matumizi yake ni hasa pale ambako sumaku nyepesi lakini yenye uwezo inahitajika. Kwa hiyo zinatafutwa kwa ajili ya [[kompyuta]], [[kinasasauti|vinasasauti]] au [[kipaziasautikipazasauti|vipaziasautivipazasauti]].
Katika [[karne ya 21]] [[uhandisi]] wa [[injini]] mpya za [[umeme]] kwa ajili ya [[magari]] na [[eropleni]] ulipanushaulipanua matumizi ya neodimi. Kwa mfano [[injini za umeme]] za [[gari]] la [[Toyota Prius]] zinahitaji [[kilogramu]] moja ya neodimi kwa kila gari. <ref>[https://www.reuters.com/article/us-mining-toyota/as-hybrid-cars-gobble-rare-metals-shortage-looms-idUSTRE57U02B20090831 As hybrid cars gobble rare metals, shortage looms] , taarifa ya Reuters ya August 31, 2009, alitazamiwa Machi 2018</ref> [[Mwaka]] [[2018]] [[kampuni]] ya Tesla ilihamia pia matumizi ya neodimi <ref>[https://www.reuters.com/article/us-metals-autos-neodymium-analysis/teslas-electric-motor-shift-to-spur-demand-for-rare-earth-neodymium-idUSKCN1GO28I Tesla's electric motor shift to spur demand for rare earth neodymium], tovuti ya Reuters ya March 12, 2018, iliangaliwa Machi 2018</ref>.
 
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Metali]]