Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
}}
 
'''Mafua ya kawaida''' ''(nasopharyngitis,pia rhinopharyngitis)'', pia 'mafua ya kuku''' au pekee "'''mafua"''' tu; kwa [[Kiingereza]]: nasopharyngitis, rhinopharyngitis), ni [[ugonjwa wa kuambukizwa]] unaoathiri sehemu ya juu ya [[mfumo wa upumuaji]], hasa [[pua]] na [[shingo]]. Dalili ni pamoja na [[kikohozi]], utoaji kamasi puani ''(rhinorrhea)'', na [[homa]]. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya siku saba hadi kumi, ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi wiki tatu. Mafua ya kawaida husababishwa na [[virusi]] mbalimbali; zaidi ya mia mbili zinajulikana kusababisha mafua ya kawaida. Virusi vya jamii ya rinovirusi ''(rhinovirus)'' ndio vinasababishi vikuu.
 
[[Dalili]] ni pamoja na [[kikohozi]], utoaji [[kamasi]] puani ''(rhinorrhea)'', na [[homa]]. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya [[siku]] saba hadi kumi, ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi [[wiki]] tatu.
Maambukizo makali ya pua , mianzi ya pua , koo au zoloto (maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya hewa (URI au URTI)) inabainishwa na eneo la mwili ambao umeathirika zaidi. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, yanavimbisha kolomeo, koo, na yanavimbisha mianzi ya pua. Dalili zinatokana na mfumo wa kinga unavyopambana na maambukizi na sio kwa sababu ya uharibifu wa seli mwilini unaoletwa na virusi. Kuosha mikono ni njia ya msingi ya kuzuia maambukizi. Kuna ushahidi unaounga mkono uvaaji kitamba usoni ni bora zaidi.
 
Mafua ya kawaida husababishwa na [[virusi]] mbalimbali; zaidi ya [[mia mbili]] zinajulikana kusababisha mafua ya kawaida. Virusi vya jamii ya rinovirusi ''(rhinovirus)'' ndivyo visababishi vikuu.
Hakuna tiba ya mafua ya kawaida, lakini dalili zinaweza kutibiwa. Ni ugonjwa unaombukiza sana binadamu. Kwa kawaida watu wazima wanaambukizwa mara mbili au tatu kwa mwaka. Kwa kawaida watoto huwa wanapata mafua mara sita au mara kumi na mbili kwa mwaka. Ugonjwa huu umekua ukiambukiza binadamu tangu zamani.
 
Maambukizo makali ya pua , mianzi ya pua , koo au [[zoloto]] (maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya hewa: (URI au URTI)) inabainishwayanabainishwa na eneo la [[mwili]] ambaoambalo umeathirikalimeathirika zaidi. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, yanavimbisha kolomeo, koo, na yanavimbisha mianzi ya pua. Dalili zinatokana na mfumo wa kinga unavyopambanaunaopambana na maambukizi, na siosi kwa sababu ya uharibifu wa seli mwilini unaoletwa na virusi. Kuosha [[mikono]] ni njia ya msingi ya kuzuia maambukizi. Kuna ushahidi unaounga mkono uvaaji kitambakitambaa usoni ni bora zaidi.
 
Hakuna [[tiba]] ya mafua ya kawaida, lakini dalili zinaweza kutibiwa. Ni ugonjwa unaombukizaunaoambukiza sana [[binadamu]]. Kwa kawaida [[watu wazima]] wanaambukizwa mara mbili au tatu kwa [[mwaka]]. Kwa kawaida [[watoto]] huwa wanapata mafua mara sita au mara kumi na mbili kwa mwaka. Ugonjwa huuhuo umekuaumekuwa ukiambukiza binadamu tangu zamani.
 
==Dalili na ishara==
Dalili za kawaida dalili za mafua ni pamoja na kikohozi, mafua, kuziba kwa pua, na koo linalouma. Dalili zingenezonyinginezo ni pamoja na kuumwa [[misuli]] (myalgia), kuwa mchovu, kuumwa na [[kichwa]], na kupoteza [[hamu ya kula]]. <ref name= E24> Eccles uk. 24 </ref> Kuumwa koo huwa ni hali inayowapata karibia [[asilimia]] 40% ya watu. Kikohozi ni hali inayowapata asilimia 50% ya watu <ref name= CE11 /> Kuumwa misuli hutokea kwa nusu ya watu. <ref name= Eccles2005 /> Homa siosi dalili ya kawaida inayowapata watu wazima, lakini ni kawaida kwa watoto wachanga, na watoto wadogo <ref name= Eccles2005> {{wanaelezea journal |. author = Eccles R | title = Kuelewa dalili ya kawaida ya baridi na mafua | journal = Lancet kuambukiza }} </ref> Kikohozi kinachosababishwa na mafua ya kawaida si kali sana ukilinganisha na kikohozi kinachosababishwa na [[homa ya mafua]] (homainfluenza). <ref Name= Eccles2005 /> Kikohozi na homa zinaonyeshavinaonyesha dalili kubwa ya [[homa ya mafua]] (Influenza) kwa watu wazima <ref> Eccles Pg.26 </ref> Idadi kubwa ya virusi vinavyosababisha mafua ya kawaida, vinaweza visiwe na dalili yoyote <ref> Eccles PG.. 129 </ref> <ref> Eccles Pg.50 </ref> Rangi ya kamasiKamasi wakati wa kukohoa hupita katika njia ya hewa na kamasi na inaweza kuwa na rangi tofauti/3} (kamasi) zinaweza kutofautiana kwa [[rangi]] nyeupe hadi kuwa ya njano au kijani. Rangi ya kamasi haionyeshi kama ugonjwa huo umesababishwa na [[bakteria]] au na virusi.<ref>Eccles Pg.30 </ref>
 
===Maendeleo ya ugonjwa===
Mafua kwa kawaida huanza na uchovu, hali ya kusikia [[baridi]], kupiga [[chafya]], na [[maumivu]] ya kichwa. Dalili zingenezonyinginezo ni kama vile pua inayotoa makamasikamasi na kikohozi huanza baada ya siku mbili au zaidi. <ref name=E24/> Dalili huwa zinakuwa mbaya siku mbili au tatu baada ya kuambukizwa. <ref name=Eccles2005/> Dalili hizo kwa kawaida huendelea kwa siku saba hadi siku kumi, lakini huezahuweza kuendelea hadi wiki tatu<ref name=Heik2003>{{cite journal |author=Heikkinen T, Järvinen A |title=The common kikohozi kitaendelea kwa zaidi ya siku kumi katika asilimia 35% hadi 40% ya watoto wagonjwa. Hali hii huendelea kwa zaidi ya siku 25 katika asilimia 10% ya watoto wagonjwa/0}}</ref><ref>{{cite journal |author=Goldsobel AB, Chipps BE |title=Cough in the pediatric population |journal=J. Pediatr. |volume=156 |issue=3 |pages=352–358.e1 |year=2010 |month=Machi |pmid=20176183|doi=10.1016/j.jpeds.2009.12.004 }}</ref>
 
==Visababishi==
===Virusi ===
[[Image: Coronaviruses 004 lores.jpg | thumb | Coronavirus ni vikundikundi vyala virusi vinavyojulikanalinalojulikana kusababisha mafua ya kawaida. Kimaumbile wanavina nuru, au taji (kitaji) kama inavyoonekana chini yakwa darubini elektroniki.]]
Mafua ya kawaida yanaambukiza kirahisi kwa kupitia njia ya hewa. Virusi aina ya rhinovirus ndio vinavyosababisha mafua ya kawaida. Ndio vinavyosababisha asilimia 30% hadi 80% ya mafua ya kawaida. Virusi aina ya rhinovirus vina RNA ya [[Familia (biolojia)|familia]] ya Picornaviridae. Kuna aina 99 inayojulikana ya virusi katika familia hii ya virusi <ref>{{Cite journal | doi = 10.1126/science.1165557 | title = Sequencing and Analyses of All Known Human Rhinovirus Genomes Reveals Structure and Evolution | year = 2009 | author = Palmenberg, A. C. | journal = Science | pmid = 19213880 | volume = 324 | pages = 55–9 | last2 = Spiro | first2 = D | last3 = Kuzmickas | first3 = R | last4 = Wang | first4 = S | last5 = Djikeng | first5 = A | last6 = Rathe | first6 = JA | last7 = Fraser-Liggett | first7 = CM | last8 = Liggett | first8 = SB | issue = 5923}}</ref><ref>Eccles Pg.77</ref> Virusi nyingine pia husababisha mafua ya kawaida. Coronavirus husababisha asilimi 10% hadi 15% ya mafua. Mafua (homa) husababisha 5% hadi 15% ya mafua <ref name= Eccles2005/> Mafua mengine yanaweza kusababishwa na virusi vya binadamu vya parainfluenza, virusi vya binadamu vya njia ya hewa viitwavyo syncytial virusi aina ya adenoviruses, enterovirus, na metapneumovirus. <ref name="NIAID2006">{{cite web | title = Common Cold | publisher =[[National Institute of Allergy and Infectious Diseases]] | date = 27 Novemba 2006 | url = http://www3.niaid.nih.gov/healthscience/healthtopics/colds/| accessdate = 11 Juni 2007}}</ref> Mara nyingi, huwa kuna zaidi ya aina moja ya virusi vinavyosababisha maambukizi <ref> Eccles. Pg.107 </ref> Kawaida huwa kuna zaidi ya aina mia mbili ya virusi tofauti vinavyohusiana na homa. <ref name= Eccles2005/>
 
==Uenezi==
Mafua ya kawaida yanaambukiza kirahisi kwa kupitia njia ya hewa. Virusi aina ya rhinovirus ndio vinavyosababisha mafua ya kawaida. Ndio vinavyosababisha asilimia 30% hadi 80% ya mafua ya kawaida. Virusi aina ya rhinovirus vina RNA ya familia ya Picornaviridae. Kuna aina 99 inayojulikana ya virusi katika familia hii ya virusi <ref>{{Cite journal | doi = 10.1126/science.1165557 | title = Sequencing and Analyses of All Known Human Rhinovirus Genomes Reveals Structure and Evolution | year = 2009 | author = Palmenberg, A. C. | journal = Science | pmid = 19213880 | volume = 324 | pages = 55–9 | last2 = Spiro | first2 = D | last3 = Kuzmickas | first3 = R | last4 = Wang | first4 = S | last5 = Djikeng | first5 = A | last6 = Rathe | first6 = JA | last7 = Fraser-Liggett | first7 = CM | last8 = Liggett | first8 = SB | issue = 5923}}</ref><ref>Eccles Pg.77</ref> Virusi nyingine pia husababisha mafua ya kawaida. Coronavirus husababisha asilimi 10% hadi 15% ya mafua. Mafua (homa) husababisha 5% hadi 15% ya mafua <ref name= Eccles2005/> Mafua mengine yanaweza kusababishwa na virusi vya binadamu vya parainfluenza, virusi vya binadamu vya njia ya hewa viitwavyo syncytial virusi aina ya adenoviruses, enterovirus, na metapneumovirus. <ref name="NIAID2006">{{cite web | title = Common Cold | publisher =[[National Institute of Allergy and Infectious Diseases]] | date = 27 Novemba 2006 | url = http://www3.niaid.nih.gov/healthscience/healthtopics/colds/| accessdate = 11 Juni 2007}}</ref> Mara nyingi, huwa kuna zaidi ya aina moja ya virusi vinavyosababisha maambukizi <ref> Eccles. Pg.107 </ref> Kawaida huwa kuna zaidi ya aina mia mbili ya virusi tofauti vinavyohusiana na homa. <ref name= Eccles2005/>
Virusi vya mafua ya kawaida vinaenezwa kwa njia moja kati ya njia kuu mbili. Kujaza hewa mapafu au kumeza vitone vya hewa vyenye virusi. Au kugusa makamasikamasi ya pua iliyoambukizwa au kugusa vitu vilivyoambukizwa <ref name=CE11/><ref name=Cold197>{{cite book|last=editors|first=Ronald Eccles, Olaf Weber,|title=Common cold|year=2009|publisher=Birkhäuser|location=Basel|isbn=9783764398941|pages=197|url=http://books.google.ca/books?id=rRIdiGE42IEC&pg=PA197|edition=Online-Ausg.}}</ref> Which method of transmitting the cold is most common has not been determined <ref name= E211> Eccles Pg.211 </ref> Virusi vinaweza kuishi kwa muda mrefu katika mazingira hayo. Virusi vinaweza kusambaa kutoka mikononi hadi kwenye macho au pua ambapo maambukizi hutokea. <ref Name= Cold197/> Watu waliopo karibu wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa. <ref Name= E211/> Maambukizi kawaida hutokea mchana na mashulenishuleni kwa sababu watoto hucheza pamoja na, hawana kinga ya kutosha na kuna upungufu wa usafi <ref name= Text2007 /> Maambukizi haya yanaletwa nyumbani kwa ndugu wengine wa familia <ref name=Text2007>{{cite book|last=al.]|first=edited by Arie J. Zuckerman ... [et|title=Principles and practice of clinical virology|year=2007|publisher=Wiley|location=Hoboken, N.J.|isbn=9780470517994|pages=496|url=http://books.google.ca/books?id=OgbcUWpUCXsC&pg=PA496|edition=6th ed.}}</ref> Hakuna ushahidi wa kutosha kwamba mzunguko wa hewa ndani ya ndege za abiria ni njia ya maambukizi <ref name=Cold197/>. Homa inayosababishwa na virusi aina ya rhinovirus huwa maambukizi yake ni makali katika siku tatu za mwanzo wa dalili. Baada ya muda huo hawaambukizi sana <ref name="contagiousness">{{cite journal|contribution=Contagiousness of the common cold|author1=Gwaltney JM Jr|author2=Halstead SB|author-separator=,}} Invited letter in {{cite journal|title=Questions and answers|journal=Journal of the American Medical Association|date=16 Julai 1997|volume=278|issue=3|pages=256–257|url=http://jama.ama-assn.org/content/278/3/256|accessdate=16 Septemba 2011}}<!-- I searched PubMed for both the letter and for the "Questions and answers" column. Neither is indexed. Also, the DOI that the website provides is broken, so I've instead provided a URL. --></ref>
 
==Uenezaji==
Virusi vya mafua ya kawaida vinaenezwa kwa njia moja kati ya njia kuu mbili. Kujaza hewa mapafu au kumeza vitone vya hewa vyenye virusi. Au kugusa makamasi ya pua iliyoambukizwa au kugusa vitu vilivyoambukizwa <ref name=CE11/><ref name=Cold197>{{cite book|last=editors|first=Ronald Eccles, Olaf Weber,|title=Common cold|year=2009|publisher=Birkhäuser|location=Basel|isbn=9783764398941|pages=197|url=http://books.google.ca/books?id=rRIdiGE42IEC&pg=PA197|edition=Online-Ausg.}}</ref> Which method of transmitting the cold is most common has not been determined <ref name= E211> Eccles Pg.211 </ref> Virusi vinaweza kuishi kwa muda mrefu katika mazingira hayo. Virusi vinaweza kusambaa kutoka mikononi hadi kwenye macho au pua ambapo maambukizi hutokea. <ref Name= Cold197/> Watu waliopo karibu wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa. <ref Name= E211/> Maambukizi kawaida hutokea mchana na mashuleni kwa sababu watoto hucheza pamoja na hawana kinga ya kutosha na kuna upungufu wa usafi <ref name= Text2007 /> Maambukizi haya yanaletwa nyumbani kwa ndugu wengine wa familia <ref name=Text2007>{{cite book|last=al.]|first=edited by Arie J. Zuckerman ... [et|title=Principles and practice of clinical virology|year=2007|publisher=Wiley|location=Hoboken, N.J.|isbn=9780470517994|pages=496|url=http://books.google.ca/books?id=OgbcUWpUCXsC&pg=PA496|edition=6th ed.}}</ref> Hakuna ushahidi wa kutosha kwamba mzunguko wa hewa ndani ya ndege za abiria ni njia ya maambukizi <ref name=Cold197/>. Homa inayosababishwa na virusi aina ya rhinovirus huwa maambukizi yake ni makali katika siku tatu za mwanzo wa dalili. Baada ya muda huo hawaambukizi sana <ref name="contagiousness">{{cite journal|contribution=Contagiousness of the common cold|author1=Gwaltney JM Jr|author2=Halstead SB|author-separator=,}} Invited letter in {{cite journal|title=Questions and answers|journal=Journal of the American Medical Association|date=16 Julai 1997|volume=278|issue=3|pages=256–257|url=http://jama.ama-assn.org/content/278/3/256|accessdate=16 Septemba 2011}}<!-- I searched PubMed for both the letter and for the "Questions and answers" column. Neither is indexed. Also, the DOI that the website provides is broken, so I've instead provided a URL. --></ref>
 
===Hali ya hewa===
Tangu zamani mafua yanakisiwa kwamba yanaenezwa kwa mtu aliyepatwa na baridi kwa muda mrefu wakati wa [[mvua]] au wakati wa msimu wa baridi, na ndiondiyo maana yanaitwa mafua ya baridi <ref>{{cite news |author=Zuger, Abigail |title='You'll Catch Your Death!' An Old Wives' Tale? Well... |newspaper=[[The New York Times]] |date=4 Machi 2003 |url=http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9D02E1DD163FF937A35750C0A9659C8B63}}</ref> Kuna mabishano kwamba wajibu wa mwili kuwa katika hali ya baridi unaleta hatari ya kupata mafua <ref name="Mourtzoukou">{{cite journal|last=Mourtzoukou|first=EG|coauthors=Falagas, ME|title=Exposure to cold and respiratory tract infections.|journal=The international journal of tuberculosis and lung disease : the official journal of the International Union against Tuberculosis and Lung Disease|date=2007 Sep|volume=11|issue=9|pages=938–43|pmid=17705968}}</ref> Baadhi ya virusi vinavyosababisha homa ya kawaida hujitokeza mara kwa mara wakati wa msimu wa baridi au mvua. <ref> Eccles Pg.79 </ref> Ingawa hii inaaminika kuwa ni kwa sababu watu wanakaa pamoja ndani ya nyumba kwa muda mrefu;.. <ref> Eccles Pg.80 </ref> haswa watoto wanaorudi shuleni <ref name= Text2007/> Hata hivyo, inaweza pia kuwa ni kwa sababu ya mabadiliko ya hewa ambayo yanarahisisha maambukizi <ref> Eccles Pg.80 </ref> Upungufu wa unyevu unaweza kuongeza viwango vya maambukizi kutokana na hewa kavu kuruhusu vitone vidogo kuenea kiurahisi kusambaza mbali zaidi na kukaa angani kwa muda mrefu <ref> Eccles PG.. 157 </ref>
 
==Maambukizo mengine==
Line 42 ⟶ 45:
==Pathofisiolojia==
[[Image:Illu conducting passages.svg|thumb| Mafua ya kawaida ni ugonjwa unaoathiri sehemu ya juu ya kupitisha hewa]]
Dalili za mafua ya kawaida zinaaminika kuwa zinajitokeza wakati kinga mwili ikipambana na virusi <ref name=E112>Pg. Eccles. 112 </ref> Jinsi kinga mwili inavyopambana na virusi inategemea na aina ya virusi.Kwa mfano, ni kawaida rhinovirus kuenezwa kwa kugusana. Inajifunga katika vipokezi vya binadamu I viitwavyo CAM-1 receptor kwa njia isiojulikana na kusababisha kutolewa kwa vichochezi. <ref name=E112/> Vichochezi hivyo ndivyo vinaleta dalili. <ref Name= E112/> Kwa kawaida haileti madhara puani <ref name= Eccles2005/> Kwa upande mwingine, virusi vya njia ya hewa (RSV) vinaenezwa kwa kugusana na kwa vitone vinavyopeperuka hewani. Ni kisha vinazaana katika pua na koo kabla ya kuenea sehemu ya chini ya kupitisha hewa <ref name=E116> Eccles Pg.116 </ref> RSV inasababisha uharibifu wa ukuta wa pua. <ref name=E116/> Virusi vya binadamu vya parainfluenza vinasababisha uvimbi wa pua, koo, na njia za hewa. <ref name=E122/> Eccles Pg.122 </ref> Vikiathiri bomba la pumzi la watoto wadogo vinaweza kusababisha kifaduro, kikohozi cha sauti na shida ya kupumua. Hii ni kwa sababu njia ya hewa ya watoto inazidi kuwa ndogo <ref name=E122/>.
 
Dalili za mafua ya kawaida zinaaminika kuwa zinajitokeza wakati kinga mwili ikipambana na virusi <ref name=E112>Pg. Eccles. 112 </ref> Jinsi kinga mwili inavyopambana na virusi inategemea na aina ya virusi.Kwa mfano, ni kawaida rhinovirus kuenezwa kwa kugusana. Inajifunga katika vipokezi vya binadamu I viitwavyo CAM-1 receptor kwa njia isiojulikana na kusababisha kutolewa kwa vichochezi. <ref name=E112/> Vichochezi hivyo ndivyo vinaleta dalili. <ref Name= E112/> Kwa kawaida haileti madhara puani <ref name= Eccles2005/> Kwa upande mwingine, virusi vya njia ya hewa (RSV) vinaenezwa kwa kugusana na kwa vitone vinavyopeperuka hewani. Ni kisha vinazaana katika pua na koo kabla ya kuenea sehemu ya chini ya kupitisha hewa <ref name=E116> Eccles Pg.116 </ref> RSV inasababisha uharibifu wa ukuta wa pua. <ref name=E116/> Virusi vya binadamu vya parainfluenza vinasababisha uvimbi wa pua, koo, na njia za hewa. <ref name=E122/> Eccles Pg.122 </ref> Vikiathiri bomba la pumzi la watoto wadogo vinaweza kusababisha kifaduro, kikohozi cha sauti na shida ya kupumua. Hii ni kwa sababu njia ya hewa ya watoto inazidi kuwa ndogo <ref name=E122/>.
 
==Uaguzi==
Tofauti ya maambukizi ya sehemu ya juu ya kupitisha hewa (URTIs) inatokana na eneo lenye dalili. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, uvimbe wa koromeo, koo, na mkamba inayoathiri mapafu. <ref name= CE11 /> Mafua ya kawaida husababisha uvimbe wa pua na aina tofauti ya uvimbe wa koo <ref. name= E51> Eccles uk. 51-52 </ ref> Ni jambo la kawaida kujifanyia mwenyewe utambuzi. <ref Name= Eccles2005/> Kutengwa kwa virusi kunafanyika mara chache <ref. Name= E51/> Kwa kawaida si rahisi kutambua aina ya virusi kwa kutizama dalili. <ref name= Eccles2005/>
 
==Uzuiaji==
Njia bora ilyopo ya kuzuia mafua ya kawaida ni kupunguza uenezi wa virusi mwilini <ref name=E209> Eccles Pg.209</ref> Hii ni pamoja na kuoshakunawa mikono na kuvaa vitambaa usoni. Katika mazingira ya huduma ya afya, magauni na glavu za kinga pia huvaliwa <ref name= E209/> Kuwatenga watu walioathirika, si rahisi kwa sababu ugonjwa huo unaenea sana na dalili haisababishwi na kundi moja la virusi. Chanjo zimeonekana kuwa hazina uwezo mkubwa kwa sababu kuna aina nyingi ya virusi na virusi hubadilika kwa haraka <ref name= E209 /> Utengenezaji wa chanjo wenye uwezo mkubwa si rahisi <ref>{{cite journal|author=Lawrence DM |journal=Lancet Infect Dis |volume=9 |issue=5 |page=278 |date=Mei 2009|doi=10.1016/S1473-3099(09)70123-9|url=http://www.thelancet.com/journals/laninf/article/PIIS1473-3099%2809%2970123-9 |title=Gene studies shed light on rhinovirus diversity}}</ref>
 
KuoshaKunawa mikono mara kwa mara kunapunguza maambukizi ya virusi ya mafua. Njia hii ni bora zaidi kwa watoto <ref name=CochP11>{{cite journal|last=Jefferson|first=T|coauthors=Del Mar, CB, Dooley, L, Ferroni, E, Al-Ansary, LA, Bawazeer, GA, van Driel, ML, Nair, S, Jones, MA, Thorning, S, Conly, JM|title=Physical interventions to interrupt or reduce the spread of respiratory viruses.|journal=Cochrane database of systematic reviews (Online)|date=2011 Jul 6|issue=7|pages=CD006207|pmid=21735402|doi=10.1002/14651858.CD006207.pub4}}</ref> Haijulikani kama kutumia dawa za kuzuia virusi au bakteria wakati wa kuosha mikono ni njia bora zaidi. <ref Name= CochP11 /> Kuvaa vitamba usoni ukiwa karibu ya watu walioathirika inaweza kuwa ni njia nzuri. Kuna ushahidi usiotosha unaokiri kwamba kuwa mbali zaidi kimwili au mbali na jamii kunapunguza maambukizi <ref name= CochP11. /> Nyongeza ya zinki inaweza kusababisha upungufu wa idadi ya homa mtu anayopata <ref name=Zinc11>{{cite journal|last=Singh|first=M|coauthors=Das, RR|title=Zinc for the common cold.|journal=Cochrane database of systematic reviews (Online)|date=2011 Feb 16|issue=2|pages=CD001364|pmid=21328251|doi=10.1002/14651858.CD001364.pub3}}</ref> Utaratibu wa kujiongezea vitamini C haupunguzi hatari au makali ya mafua. Inaelekea vitamini C hupunguza muda wa mafua <ref name=" Hemilä2010. "/>
 
==Usimamizi==
[[Image:Pneumonia strikes like a man eating shark.jpg|thumb|PosterHmizo encouragingla citizenskumkimblia todaktari "Consultdhidi yourya Physician" for treatment of the common coldmafua.]]
Kwa sasa hakuna dawa au tiba za mitishamba ambazo zimthibitiwa kwa kufupisha muda wa maambukizi.<ref>{{cite web|title = Common Cold: Treatments and Drugs| publisher = Mayo Clinic| url =http://www.mayoclinic.com/health/common-cold/DS00056/DSECTION=treatments-and-drugs| accessdate = 9 Januari 2010}}</ref> Tiba ni pamoja na kutoa tulizo ya ishara. <ref name=AFP07/> Hii ni pamoja na kupata mapumziko ya kutosha, kunywa maji ili kudumisha maji, na kugogomoa na maji ya joto ya chumvi.<ref name="NIAID2006"/> Mengi ya faida kutoka kwa matibabu hata hivyo inahusishwa na athari ya kipozauongo.<ref>Eccles Pg.261</ref>
 
Line 77 ⟶ 79:
 
==Historia==
Wakati chanzo cha homa imetambuliwa tu tangu [[miaka ya 1950]], ugonjwa umekuwa na ubinadamu tangu nyakati za kale.<ref>Eccles Pg. 3</ref> Dalili zake na matibabu zinaelezwa katika Ebers papyrus ya Misri, maandishi kongwe yaliyopo ya matibabu, iliyoandikwa kabla ya karne ya 16 KK.<ref>Eccles Pg.6</ref> Jina "homa" ilikuja katika matumizi ya karne ya 16, kutokana na kufanana kati ya dalili zake na zile zitokanazo na hali ya hewa baridi.<ref>{{cite web | publisher=Online Etymology Dictionary | url=http://www.etymonline.com/index.php?term=cold | title=Cold |accessdate=12 Januari 2008 }}</ref>
 
Katika Uingereza, Kitengo cha Homa (CCU) kilianzishwa na Baraza la Utafiti wa Afya katika mwaka 1946 na ilikuwa hapa kwamba rhinovirus iligunduliwa katika mwaka 1956.<ref>Eccles Pg.20</ref> Katika miaka ya 1970, CCU imeonesha kwamba matibabu na interferon wakati wa awamu ya kupevuka kwa maambukizi ya rhinovirus inatoa baadhi ya kinga dhidi ya ugonjwa.<ref name="pmid2438740">{{cite journal|author=Tyrrell DA|title=Interferons and their clinical value|journal=Rev. Infect. Dis.|volume=9|issue=2|pages=243–9|year=1987|pmid=2438740|doi=10.1093/clinids/9.2.243}}</ref> Hakuna tiba ya vitendo iliweza kukuzwa. Kitengo kilifungwa katika mwaka 1989, miaka miwili baada ya kukamilisha utafiti wa zinc gluconate lozenges katika kuzuia matibabu ya homa ya rhinovirus. Zinki ilikuwa tu ni matibabu fanisi iliyoundwa katika historia ya CCU.<ref>{{cite journal| journal = J Antimicrob Chemother.| year = 1987| month = Desemba| volume = 20| issue = 6| pages = 893–901| title = Prophylaxis and treatment of rhinovirus colds with zinc gluconate lozenges|last = Al-Nakib| first = W| pmid = 3440773| doi = 10.1093/jac/20.6.893| last2 = Higgins| first2 = PG| last3 = Barrow| first3 = I| last4 = Batstone|first4 = G| last5 = Tyrrell| first5 = DA}}</ref>
Line 96 ⟶ 98:
* {{cite book|last=Ronald Eccles|first=Olaf Weber (eds)|title=Common cold|year=2009|publisher=Birkhäuser|location=Basel|isbn=978-3764398941|url=http://books.google.ca/books?id=rRIdiGE42IEC|edition=Online-Ausg.}}
 
[[Jamii:MagonjwaMaradhi ya kuambukiza]]