Divock Origi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
 
Mstari 2:
'''Divock Okoth Origi''' (alizaliwa [[18 Aprili]] [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ubelgiji]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] ya Ubelgiji.
 
Origi ana [[asili]] ya [[Kenya]]: ni [[mtoto]] wa mchezaji wa [[zamani]] wa kitaifa wa Kenya [[Mike Origi]] ambaye ni wa jamii ya [[WakisiiWaluhya]].
 
Origi alianza kazi yake ya kucheza [[mpira wa miguu]] katika [[akademia]] ya [[vijana]] wa [[Genk]] ambako alitumia miaka [[tisa]] na baadae kusaini [[Lille]] [[2010]], akiwa na [[umri]] wa miaka 19 alikataa maombi ya kusaini [[mkataba]] na [[Manchester United F.C.]] kwa sababu zisizojulikana.