Content deleted Content added
Tag: 2017 source edit
Tag: 2017 source edit
Mstari 11:
 
Naomba angalia makala hii :[[Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]] na vichwa vyake vya habari, labda utapata mwelekeo mzuri zaidi. Ukiwa unaona bado huja elewa basi nijulishe au mwulize mkabidhi yoyote atakupa maelekezo zaidi! Kila lakheri....--[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|majadiliano]]) 04:18, 25 Machi 2008 (UTC)
 
==Viungo vya nje==
Salam. Ndugu Riccardo, hamna uwezekano wa kupata viungo vya nje katika makala unazo-changia? Maana naona makala nyingi umeandika bila ya viungo vya nje, wakati ukiziangalia katika Wikipedia zingine unazikuta wamewekea viungo vya nje. Je vipi utafanya ili uweze kuweka hata viungo vya nje katika baadhi ya makala utakazo changia-zenye kuhitaji viungo vya nje?--[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|majadiliano]]) 11:57, 27 Machi 2008 (UTC)
 
==Ualimu==