Yohane wa Montecorvino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Yohane wa Montecorvino''' (Montecorvino Rovella, Campania, 1247Beijing, China 1328) alikuwa Mfransisko wa Italia aliyep...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Yohane wa Montecorvino''' ([[Montecorvino Rovella]], [[Campania]], [[Italia]], [[1247]] – [[Beijing]], [[China]]. [[1328]]) alikuwa [[Mfransisko]] wa [[Italia]] aliyepata umaarufu kutokana na [[safari]] zake za [[Mmisionari|kimisionari]] barani [[Asia]].
 
==Maisha==
Baada ya kufanya [[umisionari]] [[Ulaya Mashariki]], alitumwa kwa [[Papa]] kama [[balozi]] wa [[Patriarki]] wa [[KostantinopoliKonstantinopoli]]. Baadaye alitumwa na Papa kuinjilisha [[Wamongolia]] wa [[Persia]].

Kutoka huko alikwenda [[Chennai]], [[India]] kwa miezi 13, na hatimaye [[Beijing]], [[China]] ([[1294]]). Huko, akiwa peke yake kwa miaka 11, aliweza kujenga [[kanisa]] la kwanza [[mwaka]] [[1299]] na la pili mwaka [[1305]].
 
Kutokana na mafanikio hayo, mwaka [[1307]] [[Papa Klementi V]] alimtumia Wafransisko wenzake saba waliofanywa [[maaskofu]] ili waende kumfanya [[askofu mkuu]]. Kati yao watatu tu walifika na kutimiza agizo hilo ([[1308]]).