Michezo ya jukwaani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
Sanaa hii ya maigizo huwa na faida kubwa kwa jamii. Baadhi ya faida hizo ni:
(i) '''Kuburudisha'''
kikubwa. Watu wanaotazama michezo hiyo hufurahishwa kutokana na matendo ya wahusika, kwa kuwa matendo ya wahusika yamejaa vichekesho, kebehi
na chuku nyingi.
(ii) '''Kuelimisha'''
tabia tulizokuwa nazo wanadamu. Wahusika wanaweza kuigiza mabo ambayo yanaathari kubwa kwa jamii. Mfano, wizi, uongo, rushwa na kadhalika.
Kitendo cha kuigiza matendo hayo na kuyaweka kama ni mambo hasi kwa jamii, husaidia jamii kuachana na mambo hayo.
|