Michezo ya jukwaani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
(i) '''Kuburudisha''' -Katika tamaduni nyingi za Kiafrika na hata nje ya Afrika michezo ya jukwaani huwa inaburudisha hadhira kwa kiasi kikubwa. Watu wanaotazama michezo hiyo hufurahishwa kutokana na matendo ya wahusika, kwa kuwa matendo ya wahusika yamejaa vichekesho, kebehi na chuku nyingi.
 
(ii) '''Kuelimisha''' - Michezo ya jukwaani huelimisha jamii. Hii ni kutokana na sababu kwamba matendo wanayoyaigiza wahusika ni matokeo ya tabia tulizokuwa nazo wanadamu. Wahusika wanaweza kuigiza mabo ambayo yanaathari kubwa kwa jamii. Mfano, wizi, uongo, rushwa na kadhalika.
tabia tulizokuwa nazo wanadamu. Wahusika wanaweza kuigiza mabo ambayo yanaathari kubwa kwa jamii. Mfano, wizi, uongo, rushwa na kadhalika.
Kitendo cha kuigiza matendo hayo na kuyaweka kama ni mambo hasi kwa jamii, husaidia jamii kuachana na mambo hayo.