Michezo ya jukwaani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Hii ni michezo ambayo huigizwa katika jukwaa. Michezo ya jukwaani huwa ni maigizo ambayo watendaji huiga maneno na vitendo vya wahusika na kuyasema wakiwa kwenye jukwaa. jukwaaJukwaa huandaliwa ili kuigiza tukio lililokusudiwa. Maranyingi michezo ya jukwaani waigizaji huiga maisha halisi ya jamii. Katika michezo ya jukwaani,waigizaji (fanani) huwa mbele ya hadhira na kuonesha matendo mbalimbali yanayoakisi jamii kupitia sanaa hiyo ya maigizo.
Sanaa hii ya maigizo huwa na faida kubwa kwa jamii. Baadhi ya faida hizo ni: