Michezo ya jukwaani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Hii'''Michezo ya jukwaani''' ni [[michezo]] ambayo huigizwa katika [[jukwaa]]. Michezo ya jukwaani huwa ni maigizo ambayo watendaji huiga maneno na vitendo vya wahusika na kuyasema wakiwa kwenye jukwaa. Jukwaa huandaliwa ili kuigiza tukio lililokusudiwa. Maranyingi michezo ya jukwaaniyaani [[waigizaji]] huiga [[maisha]] halisi ya [[jamii]]. Katika michezo ya jukwaani, waigizaji (fanani) huwa mbele ya [[hadhira]] na kuonesha matendo mbalimbali yanayoakisi jamii kupitia [[sanaa]] hiyo ya [[maigizo]].
Sanaa hii ya maigizo huwa na faida kubwa kwa jamii. Baadhi ya faida hizo ni:
 
Sanaa hiihiyo ya [[maigizo]] huwa na faida kubwa kwa jamii. Baadhi ya faida hizo ni:
(i) '''Kuburudisha''' -Katika tamaduni nyingi za Kiafrika na hata nje ya Afrika michezo ya jukwaani huwa inaburudisha hadhira kwa kiasi kikubwa. Watu wanaotazama michezo hiyo hufurahishwa kutokana na matendo ya wahusika, kwa kuwa matendo ya wahusika yamejaa vichekesho, kebehi na chuku nyingi.
 
(i) '''Kuburudisha''' - Katika [[tamaduni]] nyingi za [[Utamaduni wa Kiafrika|Kiafrika]] na hata nje ya [[Afrika]] michezo ya jukwaani huwa inaburudisha hadhira kwa kiasi kikubwa. [[Watu]] wanaotazama michezo hiyo hufurahishwa kutokana na matendo ya [[wahusika]], kwa kuwa matendo ya wahusika yamejaa [[vichekesho]], kebehi na chuku nyingi.
(ii) '''Kuelimisha''' - Michezo ya jukwaani huelimisha jamii. Hii ni kutokana na sababu kwamba matendo wanayoyaigiza wahusika ni matokeo ya tabia tulizokuwa nazo wanadamu. Wahusika wanaweza kuigiza mabo ambayo yanaathari kubwa kwa jamii. Mfano, wizi, uongo, rushwa na kadhalika. Kitendo cha kuigiza matendo hayo na kuyaweka kama ni mambo hasi kwa jamii, husaidia jamii kuachana na mambo hayo.
 
(ii) '''Kuelimisha''' - Michezo ya jukwaani huelimisha jamii. Hii ni kutokana na sababu kwamba matendo wanayoyaigiza wahusika ni matokeo ya [[tabia]] tulizokuwa nazo wanadamu. Wahusika wanaweza kuigiza mabomamo ambayo yanaathariyana athari kubwa kwa jamii. Mfano, [[wizi]], [[uongo]], [[rushwa]] na kadhalika. Kitendo cha kuigiza matendo hayo na kuyaweka kama ni mambo hasi kwa jamii, husaidia jamii kuachana na mambo hayo.
{{Fasihi simulizi}}
{{mbegu-fasihi}}
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Sanaa]]