Kiongozi : Tofauti kati ya masahihisho

217 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(K)
No edit summary
 
==Kiongozi katika jamii==
Katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupiga [[kura]] ambapo watu mbalimbali wanaogombea [[uongozi]] hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana.
 
Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.
Kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu aliye na [[umri]] mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]]. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.
 
Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa [[ukoo]] ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa [[viongozi]] wa juu katika ukoo.
 
==Kiongozi katika Biblia==
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa nahumwakilisha [[Mungu]] kwa ajili yakatika kuongoza watu wake hapa [[duniani]]. Hivyo anapaswa kukumbuka kwamba ameshirikishwa [[mamlaka]] ya juu na kwamba atapaswa kuhukumiwa kwa namna alivyoitumia.
 
[[Yesu]] alisema kwa kawaida watawala hutumia mabavu na hata hivyo hupenda kuitwa wafadhili.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Elimu jamii]]