Udikteta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Benito Mussolini and Adolf Hitler.jpg|thumb|200px|[[Benito Mussolini]] na [[Adolf Hitler]] walikuwa madikteta wa [[Italia]] na [[Ujerumani]] waliofuata mfumo wa [[ufashisti]] hadi waliposhindwa katika [[Vita vikuu vya pili]].]]
[[Picha:S Abacha.jpg|thumb|200px|[[Sani Abacha]] alikuwa [[dikteta wa kijeshi]] wa [[Nigeria]] miaka [[1993]] hadi [[1998]]]]
'''Udikteta''' (kutoka [[neno]] lenye [[asili]] ya [[Kilatini]]: ''dictator''; pia: '''imla''' kutoka [[Kiarabu]]) ni [[mfumo]] wa [[utawala]] wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na [[sheria]] wala [[katiba]] anashika [[madaraka]] ya [[serikali]] na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.
 
== Udikteta wa mtu mmoja au wa kundi ==