Majadiliano ya Wikipedia:Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (Universal Code of Conduct) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 63:
</br>[3/10, 16:09] '''AMtavangu (WMF) ''': I am a Universal Code of Conduct Facilitator kwa upande wa Swahili speaking community. Kwa swali lolote kuhusu Universal Code of Conduct waweza uliza humu kwa faida ya wote au inbox. Kazi yangu kubwa ni kukusanya maoni yetu sote na kuyawasilisha kitengo cha (Trust & Safety team) ili wayafanyie kazi yale tunayopendekeza. Hivyo nitaomba ushiriki wenu ili kama jumuiya tuwe na kauli kuhusu mpango huo. NOTE: Wakati wa kushiriki survey hii unaweza chagua kuto jitambulisha jina, cha msingi ni maoni tu. Unaweza kutoa maoni yako hapa: <nowiki>https://forms . gle/bh7msd8PyffyXQiy5</nowiki>
</br>[3/10, 16:15] '''+255 78xxxxx56''': Nzuri sanaa iyoo Mr.Tonny .. Waiting for event so much.
</br>[3/10, 18:28] '''Kipala ''': Swali langu kuu : je tuna tatizo la uchokozi au uonevu kwenye swwiki? Kama iko, tunaweza kupata mifano?
</br>[3/10, 18:29] '''Kipala ''': Binafsi sina nia ya kushiriki katika majadiliano ya enwiki. Upande wa swwiki ningeomba kwanza majadiliano yapelekwe mahali pake, panapofaa ni ukurasa wa Jumuiya wa swwiki. Sina uhakika kama kuna jambo. Maana lugha jinsi inavyoonyeshwa kwenye Harrassment Survey 2025 uk. 27 sijawahi kuona swwiki. Kama nimesahau tafadhali mnikumbushe.
</br>[3/10, 19:08] '''MuddyB ''': Muhtasari wa lugha zao???
Return to the project page "Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (Universal Code of Conduct)".