Tofauti kati ya marekesbisho "Darasa"

517 bytes added ,  miezi 11 iliyopita
no edit summary
(Darasa (kutoka neno la Kiarabu) ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni. Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara kwa wanafunzi wasipatwe nacho. Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati, pia meza ya walimu n.k.)
Tags: VisualEditor Mobile edit Mobile web edit
 
[[File:Elementary classroom in Alaska.jpg|thumb|Darasa la shule ya msingi.]]
'''Darasa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jengo]] au chumba ambamo mafunzo ya [[elimu]] hutolewa, hasa [[shuleni]].
[[File:Andrew Classroom De La Salle University.jpeg|thumbnail|Darasa katika [[De La Salle University]] huko [[Manila]], [[Ufilipino]]]]
[[File:Octagonal table Hutchins.jpg|thumb|Darasa la [[majadiliano]] katika [[Shimer College]].]]
[[File:UCT Leslie Social Science classroom.JPG|thumb|Darasa la [[University of Cape Town]].]]
[[File:WHU-oldlib2.jpg|thumb|Darasa la [[Wuhan University]], mwaka 1930 hivi.]]
'''Darasa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jengo]] au [[chumba]] ambamo mafunzo ya [[elimu]] hutolewa, hasa [[shuleni]].
 
Madarasa hayahayo hujengwa ili kunapotokea [[jua]], [[mvua]], [[vumbi]] au chochote kile ambacho kinaweza kuleta [[madhara]] au usumbufu kwa [[wanafunzi]] wasipatwe nacho.
 
Kwa kawaida darasa huwa na [[ubao]] wa kufundishia, [[dawati|madawati]] ya wanafunzi, pia [[meza]] ya [[walimu]] n.k.
 
Darasa ni pia [[jina]] la mkondo wa [[wanafunzi]] wanaosomea humo, na la [[somo]] linalofundishwa.
 
{{mbegu-elimu}}