Kamera pembuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AdventWebcam.jpg|thumb|269x269px|Kamera pembuzi [[nyeusi]].]]
'''Kamera pembuzi''' (kwa [[Kiingereza]]: ''webcam'') ni [[kifaa]] cha [[tarakilishi]] kinachotumika kwa kutoa [[Filamu|video]] [[Intaneti|mtandaoni]]. [[Watu]] wanatumia kamera pembuzi kwa kuongea kama [[uso]] kwa uso mtandaoni.Kamera pembuzi kikawaida huwa ni kamera ndogo kwa umbo ambazo huweza kuwekwa juu ya dawati au meza, au katika tarakilishi ya mtumiaji. Kamera hizi huweza kutumika wakati wa maongezi ya video matndaoni baina ya watu wawili au zaidi, na maongezi hayo huweza kuwa ya sauti au video mubashara.Kwa mfano kamera ya kampuni ya [[Apple Inc.|Apple]] ijulikanayo kama [[iSight]], ambayo imeundiwa katika tarakilishi za [[Apple Inc.|Apple]],za [[iMacs]] pamoja na simu kadha za [[iPhone]],zinaweza kutumika kwa ajili ya maongezi ya video, kwa kutumia programu ya kutuma ujumbe wa papo hapo ijulikanayo kama [[iChat]].
Programu ya kamera pembuzi huwawezesha watumiaji kurekodi au kuonyesha video mubashara [[Intaneti|mtandaoni]]. Vipimo vya ukubwa wa kamera pembuzi huwa ni vidogo kuliko kamera nyingi za kubebwa mkononi, na udogo huo wa umbo hufanya kamera hizi kuwa za gharama ya chini ukilinganisha na kamera nyingi za kurekodi video, hata hivyo udogo huo bado huweza kukidhi maongezi ya video kwa urahisi.
 
== Marejeo ==