Apartheid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Upinzani: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (4) using AWB (10903)
Mstari 23:
 
=== Kuondoa haki za kisiasa ===
Kabla ya 1948 chotara na Waafrika kadhaa wenye elimu walikuwa na haki ya kupiga kura katika [[jimbo la Rasi]]. Haki hizi zilifutwa. Chotara na Waasia walipewa bunge zala pekee bila kuwa na mamlaka ya maana. Waafrika weusi waliambiwa kupiga kura kwao katika maeneo ya kikabila.
 
=== Kuondoa uraia ===