Apartheid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 15:
 
=== Kutenganisha mbari ===
Katika ngazi za kwanza watu wa rangi mbalimbali zilikataliwawalikataliwa kuoana au kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Baadaye walitenganishwa kijiografia. Maeneo yalitangazwayalitengwa na kutangazwa kuwa eneo la watu weupe pekee au la wasio weupe. Waafrika waliruhusiwa kuingia au kukaa katika maeneo "meupe"yaliyotengwa kwa ajili ya watu weupe kwa kibali maalum tu,. kwaKwa mfano kama walikuwa na ajira hapasehemu hizo zilizotengwa kwa ajili ya weupe.
[[Picha:SeparationZA1.gif|thumb|250px|Tangazo la vyoo vya pekee kwa ajili ya watu weupe na wengine]]
 
=== Huduma za pekee ===
Hatua ya ziada ilikuwa sheria juu utengano wa huduma (Separate Amenities Act of 1953) iliyoweka masharitiy kwa ajili ya uwanja za michezo, mabasi, mahospitali, shule, vyuo vikuu, nafasi za kupumzika na hata vyoo vya pekee kwa ajili ya watu weupe na wasio weupe.