Apartheid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 19:
 
=== Huduma za pekee ===
Hatua ya ziada ilikuwa sheria juu ya utengano wa huduma (Separate Amenities Act of 1953) iliyoweka masharitiymashariti kwa ajili ya uwanjaviwanja zavya michezo, mabasi, mahospitali, shule, vyuo vikuu, nafasi za kupumzika na hata vyoo vya pekee kwa ajili ya watu weupe na wasio weupe.
 
Kwa kawaida huduma kwa ajili ya watu wasio weupe zilipewa pesa kidogo kulliko vifaa kwa ajili ya weupe zikawa za sifa hafifu.
 
=== Kuondoa haki za kisiasa ===
Kabla ya 1948 chotara na Waafrika kadhaa wenye elimu walikuwa na haki ya kupiga kura katika [[jimbo la Rasi]]. Haki hizihii zilifutwa.ilifutwa; Chotara na Waasia walipewa bunge la pekee bila kuwa na mamlaka ya maana. Waafrika weusi waliambiwa kupiga kura kwao katika maeneo ya kikabila.
 
=== Kuondoa uraia ===
Hasa Waafrika weusi waliondolewa uraia wa Afrika kusini kwa kuunda [[bantustan]] au "homelands". Bantustan hizi zilikuwa maeneo ya kikabila yaliobakiyaliyobaki chini ya machifu. Bantustan hizi zilitangazwa kuwa mataifa ya pekee na kila mwafrika mweusi alitangazwa kuwa raia wa bantustan fulani. Azimio hili lililenga kuondoa maswali yote kuhusu haki za waafrika za kushiriki katika siasa ya Afrika Kusini penyewe.
[[Picha:Soweto Riots.jpg|thumb|250px|Kijana wa Soweto abeba maiti ya mtoto Hector Pieterson aliyepigwa risasi na polisi mwaka 1976]]
 
== Upinzani ==
Sheria hizi zilikuwazilikumbwa na upinzani nyingimwingi nchini Afrika kusini kwenyewe na kimataifa. Awali serikali ya [[1948]] ilipita kwa kura chache tu kushinda wapinzani wake. Lakini [[Chama cha NP]] kilifaulu kuunganisha sehemu kubwa ya Makaburu waliokuwa kundi kubwa kati ya raia weupe wa Afrika Kusini. Utawala wa NP uliendelea hadi 1994.
 
Upinzani kwa upande wa watu weupe ilitokea hasa kati ya wasemaji wa Kiingereza na wengine. Upande wa Waafrika chama cha [[ANC]] kilikuwa mbele hadi ilipopigwakilipopigwa marufuku.
 
Wapinzani kama ANC na wengine walijaribu kuendesha vita ya msituni dhidi ya serikali ya Pretoria lakini kwa jumlaujumla hawakufaulu kijeshi. Lakini upinzani usiokuwa wa kijeshi ulitokea kama mwendo wa watoto wa shule tangu mwaka 1976 Soweto. Maandamano ya wanafunzi yalikandamizwa vikali na polisi. Baada ya watoto kuuawa maandamano yaliendelea kupanuakupanuka yakafaulu kurudisha swali la Apartheid kwenye ajenda ya kimataifa. Mwishowe zilikuwayaliibua matatizo ya kiuchumi (kuporomoka kwa bei ya dhahabu), gharama kubwa ya ukandamizaji wa upinzani shindikizo la kimataifa na mwishowe mageuzi makubwa baada ya anguko la [[Ukomunisti]] zilizolazimihsavililazimihsa viongozi wa Afrika Kusini kukubali mabadiliko.
 
Rais Frederik Willem de Klerk alikuwa na busara ya kuanzisha mazungumzo na kiongozi wa ANC [[Nelson Mandela]] aliyekaa gerezani [[kisiwa cha Robben]]. Baada ya kuachishwakuachiwa kwa Mandela kutoka gereza sheria za Apartheid zikafutwa haraka. Uchaguzi huru wa kwanza kwa ajili ya raia wote ulimaliza Apartheid kama utaratibu wa kisheria.
 
{{mbegu-siasa}}