Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 97:
 
== Historia ==
[[Picha:Ujerumani_1945.jpg|400px|thumb|Ugawaji wa Ujerumani mwaka 1945; Njano-nyeupe: maeneo yaliyotengwa na Ujerumani na kuwa sehemu za Poland na Umoja wa Kisovyeti, pamoja na kufukuza wakazi; nyekundu: mamlaka ya Kirusi (1949 [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]], kibichi: mamlaka ya Kiingereza, buluu: mamlaka ya Kifaransa (pamoja eneo la Saar mpakani mwa Ufaransa); kichungwa: mamlaka ya Kimarekani; maeneo ya mamlaka ya Kiingereze, Kifaransa na Kimarekani yalikuwa 1949 [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] ]]
[[Kabila|Makabila]] mbalimbali ya [[Wagermanik]] yamekuwa yakiishi kaskazini mwa Ujerumani wa leo tangu zamani za [[Roma ya Kale]]. Eneo lililoitwa kwa [[Kilatini]] "[[Germania]]" linajulikana tangu [[mwaka]] [[100]] [[BK]].