Arafa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Arafa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[ujumbe]] mfupi wa [[maandishi]] unaotumwa na kupokewa kwa mfano katika [[simu]].
 
Pamoja na [[ufupi]] wake, unaweza kuwa na umuhimu na [[uzuri]] kiasi cha kuifanya aina ya [[fasihisanaa]].
 
Pia arafa zinatumika siku hizi kwa ajili ya [[siasa]], zikisambaza haraka habari au maoni ambavyo pengine visingeweza kujulishwa kupitia [[magazeti]] au [[Vyombo vya habari|vyombo vingine vya]] [[mawasiliano ya kijamii]].
 
{{Fasihi simulizi}}
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Mawasiliano]]