Dirisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Gordijnen aan venster.JPG|thumb|[[Dirisha la hewa]] chumbani.]]
'''Dirisha''' (kutoka [[neno]] la [[Kiajemi]]) ni ufunguzinafasi wazi katika [[ukuta]] au [[paa]] la [[jengo]], katika [[gari]] n.k. Lengo lake ni kuruhusu [[hewa]] na [[mwanga]] viingie., Ni kawaida kwa [[uwazi]] ilipia [[watu]] waweze kuona nje kwa njia yake.
 
Kunaweza kuwa na [[umbo|maumbo]] na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na [[mstatili]], [[mraba]], [[mviringo]], au maumbo ya kawaida.
 
Kwa kawaida hujazwa na [[kioo]] ili kuzuia [[baridi]] na [[Vumbi|mavumbi]] kuingia. Baadhi ya madirisha yana [[kioo cha rangi]], hasa mahali pa [[ibada]].
 
Kabla ya kioo kilichotumiwa madirisha, watu wa [[Asia]] walitumia [[karatasi]] kujaza [[shimo]] kwenye ukuta. Karatasi ingeacha mwanga.
 
==Tazama pia==
{{mbegu}}
* [[Dirisha la amri]]
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Majengo]]