Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 221:
==Watu==
Afrika Kusini ina mchanganyiko mkubwa wa watu. Waafrika asili ni [[asilimia]] 80.7, Machotara ni 8.8%, Wazungu ni 7.9%, Waasia ni 2.6%.
 
[[Lugha mama]] zinazotunika zaidi ni: Kizulu (22.7%), Kixhosa (16%), Kiafrikaans (13.5) na Kiingereza (9.6%), lakini hiyo ya mwisho ndiyo inayotumika zaidi kati ya [[makabila]] mbalimbali na karibu [[nusu]] ya wananchi wanajua kuiongea.
 
Wengi (78.8%) ni [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mengi sana, hasa ya [[Uprotestanti]]; [[Wakatoliki]] ni 6.8%. [[Dini]] nyingine ni: [[Dini za jadi]] (4.4%), [[Uislamu]] (1.6%), [[Uhindu]] (1%) na [[Uyahudi]] (0.1%). Asilimia 12.3 ya watu hawana dini yoyote.