Malipo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
== Msamiati wa malipo mbalimbali ==
# '''[[Arbuni]]/Rubuni/Advansi/ChambeleEkyambele/KishanzuOrushanju''' - malipo ya kwanza ya kuzuia kitu kisiuzwe.
# '''[[Risimu]]''' - bei ya kwanza ya kukinunua kitu mnadani.
# '''[[Fidia]]''' - malipo yalipwayo na shirika la bima kwa ajili ya hasara au maumivu yaliyompata mtu.
Mstari 18:
# '''[[Riba]]''' - faida inayotozwwa na mkopeshaji au ziada ya benkini.
# '''[[Arshi]] / Dia''' - malipo kwa ajili ya kumtoa mtu damu.
# '''[[Rushwa]]/Kadhongo/Chirimiri/Chauchau/Kilemba/Mvugulio/Orushwa''' - malipo au zawadi anayotoa mtu ili kupata haki asiyostahili.
# '''[[Kilemba]]''' - ada ya harusi wanayopewa wajomba wa bibiharusi; pia malipo anayotoa mwanagenzi kwa mhunzi wake baada ya kuhitimu mafunzo yake.
# '''[[Kiingilio]]''' - malipo ya kuingia mahali kwa mfano mchezoni au densi.
Mstari 38:
# '''[[Mapoza]]''' - malipo unayomlipa uliyemwudhi ili kuondoa hasira zake.
# '''[[Faida]]/Natija/Tija''' - pesa za ziada azipatazo mfanyabiashara.
# '''[[Marupurupu]]/Posho/Eposho''' - malipo anayopata mtu zaidi ya malipo yake ya kawaida.
# '''[[Karisaji]]''' - malipo ya pesa ya muda uliopita.
# '''[[Utotole]]/Kiangazamacho/Machorombozi/Chorombozi Kiokozi''' - zawadi ya ugunduzi wa kitu au kushuhudia jambo linapofanyika mahali wakati fuluani.
Mstari 53:
# '''[[Mbiru]]''' - malipo kwa serikali kutokana na mishahara ya wafanyakazi wake.
# '''[[Zaka]]''' - moja ya kumi ya mapato ambayo waumini wa dini humtolea Mwenyezi Mungu kama shukrani.
# '''[[Fungule]]/Kanda/Entela bishaka''' - malipo ya kwanza kwa mganga.
# '''[[Tapisho]]''' - malipo kwa ngariba kwa ajili ya utahirishaji.
# '''[[Pango (kodi)|Pango]]''' - kodi ya nyumba alipwayo mwenye nyumba baada ya kipindi fulani kulingana na makubaliano.