Watitani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Headoftitan-athens.jpg|right|thumb|292x292px| Kichwa cha mmoja wa Watitani, Jumba la kumbukumbu la Akiolojia, Athini, Ugiriki ]]
'''Watitani''' (gir.kutoka [[Kigiriki]]: Τiτᾶνες , ''titânes'' - "''wanaojikazia''") walikuwa [[nasaba]] ya pili ya [[miungu]] katika [[mitholojia ya Kigiriki]] . [[Jina]] hilihilo linataja [[idadi]] ya miungu 12 ambao, katika masimulizi ya [[Wagiriki wa Kale]], walikuwa watoto wa [[Gaia]] na [[Urano|Uranos]]. .
 
Katika [[imani]] ya Wagiriki wa Kale walitawala [[ulimwengu]] kabla ya nasavanasaba ya miungu Waolimpowa [[Olimpos]], ambao walipigania udhibiti wa ulimwengu katika mfululizo wa [[vita]] kadhaa unaojulikana kama vita ya Watitani ''([[:en:titanomachy|titanomachy]])''. Waolimpo walishinda na Waitani wengi walifukuzwa [[mbinguni]] na kufungwa katika vilindi vya Tartaro.
 
== Watoto wa Uranos ==
Kizazi cha kwanza cha Watitani walikuwa wana wa Gaia na U[[Urano|ranosUranos]] wanaoitwa pia Watitani [[wazee]]; walikuwa kumi na wawili kwa jumla.
 
* Okeanos
Mstari 21:
 
== Kizazi cha pili ==
Kizazi cha pili cha Watitani walikuwa watoto wa wale kumi na wawili wa asili. Hao ni pamoja na watoto wa Okeanos na Tethys : potamoi waliotazamiwawaliotazamwa kama miungu ya [[mito]], na Okeanidi, ambao walikuwa mapepo[[pepo]] wa baharini[[bahari]] elfu tatu kwa idadi, na vile vilevilevile Nephelai, waliokuwa mapepo ya mawingu.
 
Basi kulikuwa na uzao wa Koios na Phoebe : dada Asteria na Leto .
 
Baadaye walikuja watoto ambao Hyperion alizaa na Theia : [[Helios]] (Jua), [[Selene]] (Mwezi), [[Eos]] (Alfajiri).
Mstari 29:
Baadaye wakaja wana wa Iapetos na Okeanidi [[Asia]] / Klymene: Atlas (mkubwa), [[Prometheus]] na Epimetheus (ambao walikuwa mapacha), na Menoitios .
 
Mwishowe watoto wa [[Krios]] na Eurybia (binti wa Gaia na PontusPontu ) walikuwa wa mwisho : Pallas, Astraeus, na [[Perses]]. Perses angeendelea kumwoa Asteria akizaa naye Hekate, mungu wa [[uchawi]].
[[Jamii:Miungu wa Kigiriki]]