Chai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 31:
Katika Afrika ya mashariki neno "chai" limetumiwa mara nyingi kudai [[hongo]]. Asili yake ilikuwa ombi: "Naomba [[pesa]] kidogo ili nipate kununua chai". Hii imeshafupishwa mara nyingi kwa matamko mbalimbali kama "naomba chai", "toa chai" n.k. Kwa kawaida mwomba chai atashangaa akipewa kile anachosema kwa sababu anategemea pesa.
==Tazama pia==
*[[Kahawa]]
*[[Matte]]
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|tea|Chai}}