Tasbihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[File:Ottoman Faturan Prayer Bead.JPG|thumbnail|right|Tasbihi ya Fatura ya Waosmani.]]
'''Tasbihi''' (kutoka [[Kiarabu]] تسبيحتَسْبِيح, Tasbīḥ, ambalo linategemea [[kauli]] "Subhan'allah") katika [[Uislamu]] ni aina ya [[sala]] ([[dhikr]]) inayofanyika kwa kukariri maneno machache kwa [[sifa]] na [[utukufu]] wa [[Allah]].
 
Ili kutunza [[hesabu]] ya kauli hizo, vinatumika ama [[mifupa]] ya [[mkono]] wa kulia ama [[punje]] zilizounganishwa katika [[kamba]] au [[uzi]] ([[misbaha]]) inayofanana na ile ya [[dini]] nyingine, k.mf. ya [[Wakristo]] [[Waorthodoksi]] ([[kamba ya sala]]) na [[Wakatoliki]] ([[rozari]]).