Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 196.249.103.173 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na MrJaroslavik
Tag: Rollback
Nimeongeza maana ya mandhari katika kazi ya fasihi
Mstari 8:
*Mtindo - ni mbinu inayotumiwa na fanani ili atofautiane na fanani mwingine
*Wahusika - ni watu au vitu vyenye [[uhai]] au la ambavyo hutumiwa na fanani katika kazi yake
*Mandhari - ni eneo ambalo fanani hulitumia kujenga matukio na au mtiriko katika kuumba kazi yake au maeneo anayoyatumia fanani kuakisi jamii anayoilenga
*Matumizi ya lugha - ni lugha anayotumia fanani katika kujenga wasifu wa wahusika kihaiba kazi yake