Wikipedia:Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (Universal Code of Conduct) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
Baada ya kusoma mwongozo hapa chini, iko nafasi ya kujadili pendekezo hilo na unakaribishwa ku [[Majadiliano_ya_Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)| '''Toa maoni yako katika Ukurasa wa majadiliano kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili''']].
 
==Utangulizi kuhusu '''Mwongozo Wa Kimataifa Wa NidhamuMwenendo Na Maadili'''==
 
Tunapenda kuwakaribisha wanajamii wote katika mjadala mahususi unaolenga kuleta baadhi ya seti ya miongozo ya tabia na mwenendo itakayotumika kuongoza na kutuhakikishia ulinzi na usalama kwa wanajumuiya wote pindi wachangiapo katika harakati na juhudi mbalimbali za shirika la WMF. Sambamba na hilo tunataka kuwa na mwitikio madhubuti pindi yanapojitokeza matendo ya unyanyasaji wa aina yoyote ile wakati wa uchangiaji katika miradi ya Wikimedia Foundation.