Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Systema Naturae cover.jpg|thumb|200px|<sup>'''Systema Naturae''' ni kitabu maarufu kilichoandikwa manmomnamo mwaka 1735 kwa Kilatini na [[Carl Linnaeus]]. niNi msingi wa [[uainishaji wa kisayansi]] wa mimea na wanyama hadi leo</sup>]]
'''Kilatini''' ni [[lugha]] ya [[Historia|kihistoria]] ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama [[lugha ya kwanza]], lakini bado hufundishwa katika [[shule]] na, [[chuo kikuu|vyuo]] na hata kutumiwa kama [[lugha ya pili]]. Ilikuwa pia [[lugha ya kimataifa]] ya [[elimu]] na [[istilahi za kisayansi|istilahi nyingi za kisayansi]] zimetoka katika Kilatini.
 
Kilatini kilikuwa [[lugha hai]] takriban kati ya miaka [[500 KK]] na [[600]] [[BK]] na baadaye [[lahaja]] zake mbalimbali ziliendelea na kukomaa kuwa lugha za pekee zinazojulikana kama [[lugha za Kirumi]].