Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 3:
 
==Historia==
Kilatini kilikuwa [[lugha hai]] takriban kati ya miaka [[500 KK]] na [[600]] [[BK]] na baadaye [[lahaja]] zake mbalimbali ziliendelea na kukomaa kuwa lugha za pekee zinazojulikana kama [[lugha za Kirumi]] kama [[Kiitalia]], [[Kifaransa]], [[Kihispania]], [[Kireno]], [[Kiromania]] n.k.
 
Kilatini ni pia [[jina]] la [[mwandiko]] au aina ya [[herufi]] ([[alfabeti ya Kilatini]]) inayotumika kwa lugha nyingi [[duniani]]. Hata [[Kiswahili]] huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa [[Wikipedia]].
Mstari 9:
Kilikuwa
* lugha ya [[Dola la Roma]] (angalia pia [[Roma ya Kale]])
* [[lugha mama]] ya [[lahaja]] zilizoendelea kuwa [[lugha za Kirumi]] kama [[Kiitalia]], [[Kifaransa]], [[Kihispania]], [[Kireno]], [[Kiromania]] n.k.
* lugha ya elimu na [[sayansi]] katika [[Ulaya]] kwa [[karne]] nyingi
* [[lugha rasmi]] ya [[serikali]] katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mwaka [[476]] BK hadi mnamo [[1700]] BK