Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Errare humanum est.jpg|300px|thumb|[[Nahau]] ya Kilatini ("Kukosa ni jambo la kibinadamu").]]
'''Kilatini''' ni [[lugha]] ya [[Historia|kihistoria]] ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama [[lugha ya kwanza]], lakini bado hufundishwa katika [[shule]], [[chuo kikuu|vyuo]] na hata kutumiwa kama [[lugha ya pili]]. Ilikuwa pia [[lugha ya kimataifa]] ya [[elimu]] na hata leo [[istilahi za kisayansi|istilahi nyingi za kisayansi]] zimetoka katika Kilatini.▼
▲'''Kilatini''' ni [[lugha]] ya [[Historia|kihistoria]] ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama [[lugha ya kwanza]], lakini bado hufundishwa katika [[shule]], [[chuo kikuu|vyuo]] na hata kutumiwa kama [[lugha ya pili]]. Ilikuwa pia [[lugha ya kimataifa]] ya [[elimu]] na [[istilahi za kisayansi|istilahi nyingi za kisayansi]] zimetoka katika Kilatini.
==Historia==
[[Picha:Map-Romance Language World.png|thumb|350px|[[Ramani]] ya
Kilatini kilikuwa [[lugha hai]] takriban kati ya miaka [[500 KK]] na [[600]] [[BK]] na baadaye [[lahaja]] zake mbalimbali ziliendelea na kukomaa kuwa lugha za pekee zinazojulikana kama [[lugha za Kirumi]]
Kilatini ni pia [[jina]] la [[mwandiko]] au aina ya [[herufi]] ([[alfabeti ya Kilatini]]) inayotumika kwa lugha nyingi [[duniani]]. Hata [[Kiswahili]] huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa [[Wikipedia]].
Line 11 ⟶ 10:
Kilikuwa
* lugha ya [[Dola la Roma]] (angalia pia [[Roma ya Kale]])
* [[lugha mama]] ya [[lahaja]] zilizoendelea na kuwa [[lugha za Kirumi]]
* lugha ya elimu na [[sayansi]] katika [[Ulaya]] kwa [[karne]] nyingi
* [[lugha rasmi]] ya [[serikali]] katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mwaka [[476]] BK hadi mnamo [[1700]] BK
* lugha pekee ya [[liturgia]] katika [[Kanisa la Kilatini]] hadi [[mwaka]] [[1965]]
Hadi leo Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya [[sayansi]] na [[elimu]]. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya. Tena ni▼
* lugha ya kidini katika [[Kanisa Katoliki]]
* lugha rasmi katika nchi ya [[Vatikano]].
▲Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya [[sayansi]] na [[elimu]]. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya.
==Urithi wa Kilatini katika Kiswahili==
Line 26 ⟶ 23:
Mifano:
* [[shule]] limetokana na [[Kijerumani]] "[[:de:Schule|Schule]]"
* [[gari]] limetokana na [[Kiingereza]] "[[:en:car|car]]"
* [[basi]] limetokana na [[Kiingereza]] "[[:en:bus|bus]]" ambayo ni kifupisho cha Kilatini "omnibus" (maana "kwa wote").
* [[meza]] limetokana na [[Kireno]] "[[:pt:mesa|mesa]]"
* [[familia]]
* [[mashine]]
==Kilatini cha kisasa==
[[Picha:Systema Naturae cover.jpg|thumb|300px|<sup>'''Systema Naturae''' ni [[kitabu]] maarufu kilichoandikwa mnamo mwaka [[1735]] kwa Kilatini na [[Carl Linnaeus]]. Ni msingi wa [[uainishaji wa kisayansi]] wa [[mimea]] na [[wanyama]] hadi leo</sup>]]
Kilatini kilikuwa na upanuzi mkubwa kuanzia [[karne ya 16]]; misingi ya sayansi ya kisasa ilijadiliwa katika [[Ulaya]] kwa Kilatini kilichokuwa lugha ya vyuo vikuu kote Ulaya. Katika [[karne ya 18]] na [[Karne ya 19|19]] [[mataifa]] mengi
Katika [[karne ya 20]] kulikuwa na harakati ya wapenzi wa lugha kuunda [[misamiati]] ya "Kilatini cha Kisasa" yenye maneno kwa ajili ya mitambo ya kisasa, [[mtandao]] n.k. [[Wikipedia ya Kilatini]] ilifikia makala zaidi ya 130,000 kwenye mwaka [[2019]].
== Tazama pia ==
|