Mwakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mwakilishi ni mtu anayemwakilisha mtu mwingine mahali fulani.Au ni mtu anayefanya kitu kwa niaba ya mtu mwingine.Hivyo basi mwakilishi anaweza kufanya kazi zile...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:32, 3 Aprili 2020

Mwakilishi ni mtu anayemwakilisha mtu mwingine mahali fulani.Au ni mtu anayefanya kitu kwa niaba ya mtu mwingine.Hivyo basi mwakilishi anaweza kufanya kazi zile au zote ambazo zingefanywa na mtu anayemuwakilisha mahalim husika na kwa wakati husika.Wawakilishi wapo wa aina tofauti kuna mwakilishi wa wilaya au jimbo,huyu hujulikana kama mbunge pia kuna mwakilishi wa kata fulani ambaye hujulikana kama diwani lakini pia kuna mwakilishi wa nyumba kumi huyu hujulikana kama mjumbe.Wawakilishi wa makampuni binafsi na serikali hawa hujulikana kama mawakala.